Hello, Thanks for having me...


Bigenda bittya?

Karibu
 
Nimefurahi sana kwa welcome nilipata hapa on JF. Wana Uganda hatujui Swahili vizuri, bali tunajua upendo. Na mimi sitaki lugha ya hatred basi ninawaza I will fit in somehow. My Swahili is already improving by leaps and bounds even if it is terrible to you... Thanks again. Nataka kuelewa na ku jifunza how to become a real East African...Thanks
 


Worthless? Of poor quality? ...ukiilinganisha na ipi babaa?!

Sidhani kama umewahi kupitia historia ya KamusiProject kujua kwanini ilianzishwa. Btw, hicho kionekanacho ni matokeo ya kazi iliyofanywa na watu wachache tu.

Ningetaka kujua, kwanini ukatoa statement kama hiyo.
 
Karibu JF Anne.

Can't wait to hear the long story. Expecting lots of threads on Ugandan politics from you.
Kikojozi, it is a really long story! Most of it you can Google using my name and looking at articles from 2000 and 2001 in Ugandan papers. Sitaki ku sumbua members na long story too soon. It will unfold on Google if you are interested.
 

Kwanza karibu sana ndani ya JF, lakini kwa nini umeikimbia nchi yako kwa kipindi kirefu namna hii. Kwa kuwa ni Activist nakishauri urudi nyumbani kuungana na wanaharakati wenzako ili kuiokoa Uganda kwenye masuala ya Politics.
 
Anne mugisha

Mhhh, "Kajengi" utakajua tu anza yake!!!!

Mwiba uliuliza jinsi ya kuanza kutongoza, umeona hiyo START lakini???



Anna Mugisha, karibu sana wavuni.
 
Kwanza karibu sana ndani ya JF, lakini kwa nini umeikimbia nchi yako kwa kipindi kirefu namna hii. Kwa kuwa ni Activist nakishauri urudi nyumbani kuungana na wanaharakati wenzako ili kuiokoa Uganda kwenye masuala ya Politics.
The Famer, mambo zangu na Movement ya Museveni ni ngumu sana, lakini nitarudi nyumbani baada ya kumaliza harakati ya ng'ambo. Inawezekana ku rudi baada ya 2011. -- Mungu ansaidia...
AM
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…