Hello JF Members

RasJah

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2009
Posts
703
Reaction score
64
I am very glad to inform the JF members and I am just new I have joined JF to bring real changes to our communities and help our govt on what we call good governance is all about leaders to be clean and not hypocrites.

Regards,

Ras:target:
 
Hi RasJah.....karibu sana jamvini....mimi naitwa Preta napatikana MMU.....nadhani hutajutia uamuzi wako wa kujiunga JF.....napenda kuchukua fursa hii kukushukuru wewe kwa kuwa member wa kwanza hapa jamvini mimi kumkaribisha mwaka huu.....ubarikiwe sana
 
Karibu Ras Jah Hope You Can Make the Difference
 
Wa gwaan RasJah? How good and pleasant it will be before God and man, to see the unification of I n I. One Love, Sellah!
 
Ras, kweli umekuja kusaidia serikali...

Nimeona nondo zako kwenye ile sakata ya PPF, nakupa tano mkuu

Mze wa Memkwa anakukaribisha sana
 
I am very glad to inform the JF members and I am just new I have joined JF to bring real changes to our communities and help our govt on what we call good governance is all about leaders to be clean and not hypocrites.

Regards,

Ras:target:
even me i entered hapa jana
 
jaman,nimefika hapa jana,hata akomodesheni sijapata,nafurai kuwa hapa,nafurai kukutana na wadau mbalimbali,mambo ya humu ndo yananifumbua macho lol,why nimelate kufika hapa
 
Preta kwa ukaribisho huu jamaa hawezi kujutia
Karibu RasJah
 
Preta umenikwaza!!

wewe ndio umenikwaza sana....ni nini kunikimbia siku ile....au kunywa mizinga mitatu ya konyagi ndio ilikuwa sababu....si ungeniambia nipunguze kama ulimind
 
jaman,nimefika hapa jana,hata akomodesheni sijapata,nafurai kuwa hapa,nafurai kukutana na wadau mbalimbali,mambo ya humu ndo yananifumbua macho lol,why nimelate kufika hapa

ungetumia utaratibu aliotumia mwenzio tungekukarimu,......hata hivyo karibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…