hello everyone ......

Mkuu hebu shtuka kidogo hapa Invizibo kafanya ID's merging....huyu juzi alikuja jukwaani hapa kama aviator...angalia post ya kwanza toka kwa Katavi
Jana nilimuuliza swali la kizushi hahah akajichanganya...na Invizibo hakufanya ajizi...

Hapo ndipo ninapowapenda Mods!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu humu mambo ni mengi mpaka nashangaa! Jana wengine tulisingiziwa ni matapeli kwenye PM. Namuachia MUNGU tu.

shoga kakosa mabasha yule
asitushughulishe atajiju!!ana nini
cha kutapeliwa?au yale makengeza?

 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

huyu ndiye yule majaribu2013
 
Last edited by a moderator:
huyu ndiye yule majaribu2013

Siku zote kuwa makini sana na zile ID's mpya zenye kujichanganya hapa CC as if ni wenyeji wa siku nyingi...

Kwa mgeni yoyote nina uhakika huwa haelewi wanaCC huwa wanadiskasi nini...na mara nyingi huwa wanaishia kusoma na kuondoka...
 
Pole sana King Mswati..... Si wewe pekeyako! Wengine tukianza kusimulia maswahibu yalotupata humu utasema lako ni cha mdoli.....

Mhh! Pole sana....kwa upande wangu sina kinyongo naye kwani atajiju mwenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…