Hata najua basi
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 1,780
- 3,514
- Thread starter
- #21
Asante 🙏Mi mwanaume
Asante 🙏Mi mwanaume
Ulitaka mwanamke mwenzako ?Asante 🙏
Ndio ni bora zaidiUlitaka mwanamke mwenzako ?
Ni maeneo ya vibaka wengi na uhuni uhuni ni mwingi ikifika saa mbili usiku kutoka nje unaweza patwa na lolote.Kuna shida gan kwa hayo maeneo ya maili mbili nk..
Ah sawa watapatikana tu humu JF huwezi kosa mwanamke aliyepo huku DomNdio ni bora zaidi
Barikiwa kaka ni sehem gan tulivu ya kutembelea yaan sehem hakuna kelele na kuna mazingira ya asiriNi maeneo ya vibaka wengi na uhuni uhuni ni mwingi ikifika saa mbili usiku kutoka nje unaweza patwa na lolote.
🙏🙏Ah sawa watapatikana tu humu JF huwezi kosa mwanamke aliyepo huku Dom
kwa dodoma sehemu inayovutia kwa mazingira ya asili nitakudanganya labda milimani maana si unajua huku kukame,Barikiwa kaka ni sehem gan tulivu ya kutembelea yaan sehem hakuna kelele na kuna mazingira ya asiri
Shukrani Mkuu
Bei zikoje?WEwe ni Ke au Me,
Fikia Best Western kati kati ya mji. Au kama unapenda alone life nenda aparment zipo area D. Kama una hela wastani fikia area A ina lodge mpya na karibu na mjini.
Tour guide unataka?
Hivi dodoma kuna mito kweli? Nimeishi zaidi ya miaka 7 sijawai ona mto.kwa dodoma sehemu inayovutia kwa mazingira ya asili nitakudanganya labda milimani maana si unajua huku kukame,
ila labda Bihawana kwenye mashamba ya zabibu kule ndo at least kunavutia na unaweza hata ukanunua Wine kwa bei nafuu sana kama unapendelea hivyo vitu.
Sorry mkuu 😊 😃 😀Mimi mwanamke 😂
Hakuna mto mkuuHivi dodoma kuna mito kweli? Nimeishi zaidi ya miaka 7 sijawai ona mto.
ulikuwa unaishi maeneo ganiHivi dodoma kuna mito kweli? Nimeishi zaidi ya miaka 7 sijawai ona mto.
Karibu sana Dom, je sehemu ya kufikia unamaanisha Hotel, Apartment, Lodge au guest?Hello wana October natarajia kusafiri kuja dodoma ni sehem gan nzuri ya kufikia kwa mtu asie na mwenyeji 🙏
Karibu nikupokee mimi basi. Nipo Hombolo huku nalima zabibu. Kumetulia balaa.Barikiwa kaka ni sehem gan tulivu ya kutembelea yaan sehem hakuna kelele na kuna mazingira ya asiri
AsanteeFikia hotel inaitwa Welcome Lodge ipo mitaa ya Uhindini bei ni rafiki sana! Vyumba vinaanzia 40k na kuendelea! Uzuri ukifikia hapo unakuwa upo karibu na sehemu zote nzuri maana ni katikati ya mji! Ila book mapema maana panajaaga! Ukitaka kula kitimoto nenda pale PorkJoint wana kitimoto safi, Chakula kula Mwambao Restaurant na kama ni mtu wa kutoka usiku nenda Rainbow Pub pana vibe sana🔥
Shukran mwanaume Shababi🙏😂Karibu nikupokee mimi basi. Nipo Hombolo huku nalima zabibu. Kumetulia balaa.
NB:- mimi ni mwanaume Shababi.