Hello Dodoma

Hello Dodoma

Kutembea tu
Kama ni hivyo nakushauri ufikie maeneo ya chako ni chako hapo wanauza tiketi za kwenda mbinguni kwa bei nafuu sana, na magonjwa mengine kama gono n.k wanasambaza kwa bei chee kabisa, kama ww ni mtakatifu na si mtakabifu nakushauri ukifika upitilize vijijini huko kunautulivu wa kutosha, sanasana utasumbuliwa na makelele ya walevi tu pekee wanaokunywa ubabu au nkangalaa, sikadi, choya, pilimisi pamoja na lanjani, hakuna matatizo mengine huko.
 
Asante Mjusi lakin sio lengo hilo🙏
😂😂
 
Kama balance inaruhusu ....lala pale midland hotel... ipo ilazo karibu na hotel ya st Gasper, hii barabara kuu kutokea nane nane kama unakuja mjini .....

Niliwahi lala pale mwaka jana.... ! Huduma nzuri mujarab
 
uwe makin na madem wa huko.... cheap yutiai nje nje .... wengi wanajichubua... kama walau una connection ama mwenyeji ukavizie vitoto vya chuo, vipo ambavyo km zinasoma chache.....
 
Kwa kufikia fikia Lodge za mitaa ya Utulivu vijana wa mjini wanaita Ushuani, hapo kuna Lodge za Kisasa, Image, Nkuhungu au Area D, kwa mimi napendekeza ufikie Lodge za Kisasa au Area D.

Mitaa ambayo hupaswi kabisa kufikia ni Maili mbili, chang'ombe na kikuyu... usiseme sikukwambia.
 
Kuna shida gan kwa hayo maeneo ya maili mbili nk..
 
Back
Top Bottom