Hello Cover- Rosie Delmah

Hello Cover- Rosie Delmah

Moja kati ya cover nzuri za hello pamoja na hii ya Alaine mzee.

Nipo addicted saana na covers
 
Ana sauti iliyotulia na yenye kuvutia, kuna baadhi ya nyimbo kama;
1. Back to my love
2. When we were young
Hili nilidhibitisha live performance moja alialikwa kama balozi nadhani. It was really fantastic!
 
Moja kati ya cover nzuri za hello pamoja na hii ya Alaine mzee.

Nipo addicted saana na covers

Yuko vizuri sana. Kitu kimoja cha ziada kwa Rosie anafanana na Mwanamke mmoja niliyewahi kufahamiana naye hapa JF na kuwa marafiki takribani miaka 2 na baadaye tukapotezana amenifanya ni mkumbuke.
Popote ulipo T nakukumbuka.
 
Haha kumbe thread yako ina mengi sio.... msalimie huyo T
 
Back
Top Bottom