Unaloongea ni kweli.... Lakini kumbuka demand si lazima kudai kwa ubabe.... Waweza dai bila kutumia huo Ubabe. Maybe sababu J.K ana madhaifu kibao na wananchi hawamtaki wanaona sawa tu! But at the end of the day kauli ya "NAMTAKA" moja kwa moja is not respectful.... Ni sawa na wewe uko kwako anakuja mwanao kazini mbele ya wafanyakazi wenzio na kukudemand "Baba nakutaka uende sasa hivi nyumbani ukashughulikie swala la Umeme".....
Kwani uraia wa nchi ya Tanzania unapatikanaje? Je sheria za Tanzania zinaruhusu kuwa na uraia wa nchi mbili?mama Kijo ni mtusi tusidanganyane hapa aliolewa na mtanzania kuna habari kuwa ama ana uraia wa nchi mbili au hajaukana uraia wake wa Lwanda.
Pamoja na kujua kuwa HELLEN KIJO BISIMBA ni Mkurugenzi wa Kituo cha haki za binadamu , Kauli zake za hivi karibuni kuhusiana na mgomo wa Madaktari zimenifanya nisiishie kumjua kwa wadhifa huo . Nanukuu kauli zake NAMTAKA RAIS KIKWETE AWAFUKUZE KAZI WAZIRI WA AFYA NA NAIBU WAZIRI WAKE LUCY NKYA aidha NAWATAKA SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA WATNZANIA ANNE MAKINDA NA NAIBU WAKE JOB NDUGHAI WAWAOMBE MSAMAHA WATANZANIA
Je Nguvu ya Mama huyu inatokana na moja kati ya haya yafuatayo?
- Ni Mkurugengi wa haki za binadamu nchini?
- Ni kwa sababu anataka kuonesha wahisani kuwa pesa wanazowapa hazipotei?
- Au Mama ana mambo binafsi nje ya kazi dhidi ya Waziri wa afya na naibu wake maana naye ni binadamu na ni mwanamke na inawekana kabisa kuna wataki amEikosa haki yake ya msingi kama binadamu na labda mmoja kati ya viongozi hawa wawili ndiye chanzo na akaamua kutumia nafasi hiyo kuutuliza moyo wake?
Mimi naamini kwa Msomi na hasa Mwanasheria kama BISIMBA ambaye siyo mwanasiasa manake mwanasiasa siyo lazima awe amekwenda shule asingeweza kutumia neno NAMTAKA kwa viongozi wa ngazi ya juu kama Rais au SPIKA.
Nawasilisha.
Nafikiri wote muende mkajifunze maana ya neno respect. Mkajifunze vile vile majukumu ya serikali kwa watu wake. Nyie wote ndio mnaowafanya wanasiasa wakawa "MABWANA" kwa raia waliowachagua badala ya kinyume chake. Hatutaweza kuwa na demokrasia ya kweli kufikiri kwa namna yenu.You are quite correct AshaDii, Hellen Kijo Bisimba amevuka mipaka ya uhuru kwa kujieleza kwa kumtamkia Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Tanzania kusema NAMTAKA! Hicho kivuli cha NGO anachokitumia akumbuke amepewa kwa niaba ya huyohuyo anayemshurutisha.
Jk angekuwa kama kagame tusingesikia kauli hizo kagame si kiongozi wa kulea migomo.
mama Kijo ni mtusi tusidanganyane hapa aliolewa na mtanzania kuna habari kuwa ama ana uraia wa nchi mbili au hajaukana uraia wake wa Lwanda.
Nafikiri wote muende mkajifunze maana ya neno respect. Mkajifunze vile vile majukumu ya serikali kwa watu wake. Nyie wote ndio mnaowafanya wanasiasa wakawa "MABWANA" kwa raia waliowachagua badala ya kinyume chake. Hatutaweza kuwa na demokrasia ya kweli kufikiri kwa namna yenu.
We the citizen (tax payers) we have the right to demand and not to request and the state has an obligation to fullfill our rights (not privileges). Neno ninamtaka ni neno la kudai (demand). siyo tusi hata kidogo.
Jamani tuache uchonganishi huyu helen anafahamu sheria na utawala wa kisheria.
LHCR haiwezi kuwa moja ya asasi za mfukoni...kazi zake zinajieleza kwa wanaotaka kuelewa..kama hukuwa ukifahamu ilianzishwa na akina Dkt. Mvungi Sengondo, Prof. Palamagamba Kabudi et al.Asasi za mfukoni.
alaaa kumbe wa kule kule na wa chama kile kile,ndio maana kashubalia.pumbaf....Kwanza kabisa hakuna nchi inayoitwa "Lwanda".
Pia ningependa nikujulishe na kukuhakikishia 101% kuwa huyu mama, Dr. H. K. Bisimba ni mTanzania, amezaliwa Tanzania na ni mwenyeji wa mkoa wa Kilimanjaro. Wazazi wake ni waTanzania sasa sijajua uraia mwingine unaouongelea unatokana na nini. Namfahamu kwa ukaribu sana; ni mwanaharakati wa kweli kama wanaharakati wengine na ni mtetezi wa haki za binadamu ambacho naamini ndio kazi yake katika ofisi aliyopo sasa. Kwa dondoo tu, "Kijo" ni ubini wake kabla hajaolewa na Bisimba ni baada ya kuolewa, i.e. jina la mumewe.
Hii nchi haipo dunia
mama Kijo ni mtusi tusidanganyane hapa aliolewa na mtanzania kuna habari kuwa ama ana uraia wa nchi mbili au hajaukana uraia wake wa Lwanda.