Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 71
Pamoja na kujua kuwa HELLEN KIJO BISIMBA ni Mkurugenzi wa Kituo cha haki za binadamu , Kauli zake za hivi karibuni kuhusiana na mgomo wa Madaktari zimenifanya nisiishie kumjua kwa wadhifa huo . Nanukuu kauli zake NAMTAKA RAIS KIKWETE AWAFUKUZE KAZI WAZIRI WA AFYA NA NAIBU WAZIRI WAKE LUCY NKYA aidha NAWATAKA SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA WATNZANIA ANNE MAKINDA NA NAIBU WAKE JOB NDUGHAI WAWAOMBE MSAMAHA WATANZANIA
Je Nguvu ya Mama huyu inatokana na moja kati ya haya yafuatayo?
- Ni Mkurugengi wa haki za binadamu nchini?
- Ni kwa sababu anataka kuonesha wahisani kuwa pesa wanazowapa hazipotei?
- Au Mama ana mambo binafsi nje ya kazi dhidi ya Waziri wa afya na naibu wake maana naye ni binadamu na ni mwanamke na inawekana kabisa kuna wataki amEikosa haki yake ya msingi kama binadamu na labda mmoja kati ya viongozi hawa wawili ndiye chanzo na akaamua kutumia nafasi hiyo kuutuliza moyo wake?
Mimi naamini kwa Msomi na hasa Mwanasheria kama BISIMBA ambaye siyo mwanasiasa manake mwanasiasa siyo lazima awe amekwenda shule asingeweza kutumia neno NAMTAKA kwa viongozi wa ngazi ya juu kama Rais au SPIKA.
Nawasilisha.
@ Thatha, kwani neno "namtaka" lina kasoro gani?!
Mama Hellen Kijo Bisimba ni mtanzania mzalendo asiye na unafiki full stop.
Anaweza kuwa Mnyarwanda, maana ana munkari usio wa kawaida
Umenifurahisha sana leo kule kwenye lile shindano hewa la EM EM U!!Asasi za mfukoni.
mama Kijo ni mtusi tusidanganyane hapa aliolewa na mtanzania kuna habari kuwa ama ana uraia wa nchi mbili au hajaukana uraia wake wa Lwanda.
mama Kijo ni mtusi tusidanganyane hapa aliolewa na mtanzania kuna habari kuwa ama ana uraia wa nchi mbili au hajaukana uraia wake wa Lwanda.
Hii nchi haipo dunia
...awe myarwanda,mkongoman,mzambia,mshona,mkenya,mganda au yeyote yule haijalishi,na kama kunawengine wapigania haki popote pale duniani tunawakaribisha waje waungane na huyo mama ili Watanganyika wapate ukombozi wa kweli...soma historia vizuri,utajua ni Watanganyika wangapi walipoteza maisha yao kwaajili ya kuwakombo raia nchi za Namibia,Msumbiji,Zimbabwe nk...NI HERE VIuko sasa ni mnyarwanda kwao wamezoea vita