Deo yupo salama
Poa! Najua umeongea naye! ni kumshukuru Mungu!
Huu ndo ukwe mpendwa. Tupo kwenye mfungo, kiukweli anayetumia hayo madude hatasalimika, tumechokaaaaa.
Nb, simaanishi hii ajali pia. Coz wachawi nao wapo kazini kutoa kafara ili karudisha mapigo, so tuombe sn jamani, waondoke wale wanao kusudia mabaya na si wasiokuwa na hatia
filikunjombe yupo safe mkuu..........Hii nchi ya KIjinga sana... Wengine wanakimbilia kusema fulani mzima utafikiri alikuwapo mwenyewe, au ndiyo hatujali maisha ya waliokuwepo sababu tu si maarafu?? Alafu waziri mwenye mamlaka yeye anasema ndio vikosi vya uokoaji vimetumwa usiku huu, which means bado hali zao hazijajulikana, maana anasema helikopta imeripuka.. Hii nchi bure kabisa yani
Hakuna uthibitisho wowote kwa kauli ya waziri wa Utalii...ndo kaagiza Maaskari wanaelekea huko
Ilikuwa imewabeba wakina nani hasa?
These people aint serious.. Kweli kama mtu watu wapo hai kweli muwaache hadi kesho asubuhi?seriously? Ooh no.
filikunjombe yupo safe mkuu..........
filikunjombe yupo safe mkuu..........
Makamba anasema Chopa zao zote zipo salama. Sasa hii Deo alikodi kama private ama?