TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

Mimi sijamwelewa hapo Makamba. Ajali inapotokea kuna mambo matatu yanaweza kutokea nayo ni Kifo, majeruhi au Salimini(Uzima kabisa), sasa anaposema Majeruhi wasiwepo, anataka wawepo Waliosalimika na waliokufa?
Nadhani anapaswa kuwa smart anapoandika kwenye wall yake, la sivyo italeta tafsiri mbaya.
Ivo ivo ndio kamaanisha wala usimjudge..!!
Ndio kamaanisha ivo.
 
Hizi habari zina ukweli ITV wamethibitisha muda mfupi ulipita Filikunjombe amenusurika kwenye ajali ya chopa imetokea leo muda mchache uliopita habari kamili zitaletwa zitakuwa tayari
 
Habari zimezagaa kuwa kuna helkopta imeanguka katika milima ya seleous na kuwaka moto ikiwa na watu wanne miongoni mwao ni Deo Filikunjombe. Mods naomba mfatilie kama ni kweli au kama kuna mwenye taarifa za uhakika atujuze

Source: Facebook page ya Mwiguli Nchemba na Twitter ya January Makamba
 
Kama ni kweli mbona uchaguzi wa mwaka huu utakua ni kiyama kwa wanasiasa huenda matunguri wanayokwenda kufukiziwa na waganga wa kienyeji kwa kutumia viungo vya albino ili pate madaraka yameanza kuwatafuna wenyewe.

Huu ndo ukwe mpendwa. Tupo kwenye mfungo, kiukweli anayetumia hayo madude hatasalimika, tumechokaaaaa.

Nb, simaanishi hii ajali pia. Coz wachawi nao wapo kazini kutoa kafara ili karudisha mapigo, so tuombe sn jamani, waondoke wale wanao kusudia mabaya na si wasiokuwa na hatia
 
ITV taarifa ya habari saa tano usiku Imethibitisha kutokea kwa ajali ya helkopita ambayo Deo Filikunjombe alikuwa anasafiria lakini yuko salama. Habari zaidi bado zinafuatiliwa.
 
Habari zimezagaa kuwa kuna helkopta imeanguka katika milima ya seleous na kuwaka moto ikiwa na watu wanne miongoni mwao ni Deo Filikunjombe. Mods naomba mfatilie kama ni kweli au kama kuna mwenye taarifa za uhakika atujuze

Source: Facebook page ya Mwiguli Nchemba na Twitter ya January Makamba
Kakojoe ulale dogo kesho Shule.
Siyo unakurupuka tu wakati taarifa ziko humu tangu juzi, sijui jana, au sijui ni leo asbh au join ya leo.
 
Back
Top Bottom