Acha upuuzi wewe na ushamba Chopa ni usafiri wa kawaida tu.Alikuwa nakwenda kufanya nini na chopa jimboni kwake si alisema kapita bila kupingwa?sasa anakwenda watoa ushamba watu wake kuona chopa?
waziri kwenye twitter yake
Sasa nyarandu na makamba nani ni mkweli?
Naomba utulivu.1)ajali ya helkopta imethibitishwa 2)kuwaka hakujathibitishwa 3)ndugu yangu Deo alikuwamo 4)hakuna uthibitisho wa madhara.
Tweet ya Zitto
Achana na hao akina Zitto, Kigwa na Makamba hawajui lolote wanapotosha tu.. Wakusikiliza ni Nyalandu ambaye ndiye waziri husika wa utalii na hiyo Helikopta imedondokea mbugani.. Hao akina Zitto, Makamba ni wapotoshaji tu.. Fuatilia tweet za Nyalandu
Makamba ndo kichekesho yeye anakimbilia kusema chopa zao zipo salama, walishazoea kukanusha sana
Achana na hao akina Zitto, Kigwa na Makamba hawajui lolote wanapotosha tu.. Wakusikiliza ni Nyalandu ambaye ndiye waziri husika wa utalii na hiyo Helikopta imedondokea mbugani.. Hao akina Zitto, Makamba ni wapotoshaji tu.. Fuatilia tweet za Nyalandu
Kweli kbsa zito, kigwa, January wote vi domodomo tu hawajui wanalosema
ni kweli mkuu maana Makamba alikanusha na kusema Chopa zao zote Zipo Salama
Kama hiyo chopa imelipuka kuna uhai tena hapo.
Huyu February ni ----- sana alafu anajifanya Yuko smartWashenzi sana, wanaleta siasa mpaka kwenye mambo ya msingi.. Yaani watu kama hao ambao wanauwezo wa kupata namba za RPC na Mkurugenzi mkuu wa Selous muda wowote ili watoe taharifa zenye ukweli wanakimbilia kutoa habari za kimihemko tu.. Kulikuwa na ugumu gani wa wao kufatilia zaidi?? Au walivyosikia sio helikopta ya Chama na Deo yuko salama wakapuuzia kama ni wengine iwe Ukawa au Mwananchi wa kawaida potelea mbali..