TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

Kweli kbsa zito, kigwa, January wote vi domodomo tu hawajui wanalosema
ZKK hadi kufa kwake atakuwa speculator anayekosea kidogo kila mara.....NI WALE WANAOTABIRI MNYAMA MWENYE MKIWA KUWA DUME BAADA YA KUONA MKIA...
 
Rescue mission on the way
 
Attachments

  • 1444949597732.jpg
    1444949597732.jpg
    59.8 KB · Views: 858
Mamlaka ya Anga wana habari za hii ajali toka saa 12 jioni lakini hawajafanya juhudi zozote mpaka saa 7 usiku.

Mkiambiwa Chama Chenu kimeua kila kitu mpaka weledi wa wafanyakazi kufanya kazi beyond working hours mnakataa.. Si unaona sasa, hao sio ajabu walipata taarifa muda mwingi tu sema wamelala makwao tu wanasubiri siku ianze ndio ufuatiliaji uanze. Sasa huyo majeruhi kuanzia saa 12 mpaka saa 7 za usiku tena porini kwenye wanyama mwitu kuna uhai hapo?? Ila MUNGU anawapigania huko waliko, tuombe wakutwe hai tu kama imempendeza..
 
Acha upuuzi wewe na ushamba Chopa ni usafiri wa kawaida tu.
Kwanini nani kakuambia ni wa ajabu.....?mimi nimeuliza kistaarabu tuu wewe kwa ukafiri ukarukia kwa kujishtukia..CCM si waliapa kutumia magari kuthibitisha barabara walizojenga...?huyu jamaa si alikuwa na maigizo jimboni...?sasa chopa ya nini kwenda kwao?Maswali mepesi sana ,ila yanaweza kuwa magumu na mengi km una ubongo kidogo wa kufikiri..
 
Ashukuliwe Mola kwakuwa wapo salama, namkubali sana deo.
Sasa kumkubali wewe kunamhalalisha vipi ..ktk fikra na vipimo vya wengine?Mbona wabongo mna misemo inayoharibu akili zenu.wewe shukuru kwa binadmu kupona...upuuzi mwingine achana nao....mtaatumainia binadamu hadi lini wakati hamuwajui....zaidi ya kulishwa na media na matukio kadhaa...?
 
Mamlaka ya Anga wana habari za hii ajali toka saa 12 jioni lakini hawajafanya juhudi zozote mpaka saa 7 usiku.
wafanje nini?Kwani kuna rescue bregade mmeicha na uhai...?hata angeanguka baharini si mgesubiri msaada wa south Africa kuja wasaidia..ila majukwaani mtajidai kwamba Majeshi yetu idaza zote yapo fiti sana na ni ya kujivunia duniani..
 
Kwanini nani kakuambia ni wa ajabu.....?mimi nimeuliza kistaarabu tuu wewe kwa ukafiri ukarukia kwa kujishtukia..CCM si waliapa kutumia magari kuthibitisha barabara walizojenga...?huyu jamaa si alikuwa na maigizo jimboni...?sasa chopa ya nini kwenda kwao?Maswali mepesi sana ,ila yanaweza kuwa magumu na mengi km una ubongo kidogo wa kufikiri..

Nadhani baada ya Mwandosya kususa na Mwakyembe kushindwa kuwa na ushawishi Nyanda za Juu kusini, walitaka kumtumia huyu bwana ili wapate kura huko maana ukimtoa Prof Mwandosya sidhani kama kuna mwingine mwenye ushawishi pande za kule. Nadhani ndiyo akapewa mpaka hiyo Helikopta atembee pande zote huko kumnadi Magufuli.. Sijui kwanini na yeye aliingia kwenye mkenge wa wahuni safari hii..
 
Huyu nyalandu naye kumbe kilaza tu kama ccm wengine ... eti area of selous (55,000 sq. km) is as big as the area of belgium (sq. km. 30,000)!

Heshima kwako mkuu, ila soma vizuri alichokiandika Nyalandu, naona wewe ndiye mwenye makosa na si yeye..
 
Huyu nyalandu naye kumbe kilaza tu kama ccm wengine ... eti area of selous (55,000 sq. km) is as big as the area of belgium (sq. km. 30,000)!
Watz huwa wana tabia ya kurudia wanachosema wazungu ...pengine mzungu alisema karibu mara mbili Nyalandu kwa haraka hakuwa ameshika vyema data ..
 
Mpaka sasa bado hakuna kinachoendelea kuhusu kujua hali ya ajali hii na wahusika kama wapo hai au la??
 
Back
Top Bottom