Kwani kuna zuio la kukodi Ndege toka nje ya nchi? Muhimu ni kuomba kibali TCAA ili iruke katika anga la TanzaniaJe ni kweli wakuu helikopta anayoitumia EL sio ya Tanzania kutokamna na namba za helikopta hiyo ambayo ni 5Y-SGM
Je ni kweli wakuu helikopta anayoitumia EL sio ya Tanzania kutokamna na namba za helikopta hiyo ambayo ni 5Y-SGM
Tatizo sio kukodi chopa nje ya nchi au kupata kibali?Bali ni chopa yenyeww kuwa na uwezo MDOGO wa kubeba watu weng
helcopter hailingani na hadhi ya pesa zake,angechukua chinook,ambayo inabeba hatya watu 15
Lakini kwenye mada umezungumzia kuwa siyo ya tz kutokana na kibali,hujataja wasiwasi wako kwenye uwezo wa kubeba abiria wengi.
helcopter hailingani na hadhi ya pesa zake,angechukua chinook,ambayo inabeba hatya watu 15
helcopter hailingani na hadhi ya pesa zake,angechukua chinook,ambayo inabeba hatya watu 15
Je ni kweli wakuu helikopta anayoitumia EL sio ya Tanzania kutokamna na namba za helikopta hiyo ambayo ni 5Y-SGM
unamaanisha hii hapa chini??!!
![]()
Tatizo sio kukodi chopa nje ya nchi au kupata kibali?Bali ni chopa yenyeww kuwa na uwezo MDOGO wa kubeba watu weng
Mbona nasikia hata ile ndege moja pekee ya Atcl siyo mali ya Tanzania?eti ni kweli?
Hadi chopa? Kweli ccm mmechoka kimawazo. Maccm mwaka huu tena!? Hapana sema hapana kwa masilahi mapana ya Taifa letu. Tumewavumilia sana kwa madudu yao miaka yote, sasa tuseme basiiiiii. Chagua Ukawa chagua Lowassa.Je ni kweli wakuu helikopta anayoitumia EL sio ya Tanzania kutokamna na namba za helikopta hiyo ambayo ni 5Y-SGM