Helikopta anayoitumia EL

Helikopta anayoitumia EL

Tatizo sio kukodi chopa nje ya nchi au kupata kibali?Bali ni chopa yenyeww kuwa na uwezo MDOGO wa kubeba watu weng

Mbona upo kama sigara kali wewe, hueleweki mbele wapi nyuma wapi!

Shida yako ni YA WAPI au UWEZO WAKE? By the way, ni ya Tahiti na inabeba watu wawili, SO WHAT?
 
Tanzania chini ya CCM imeanza lini kutengeneza helicopter?
 
transport

AVATAR YAKO INAREFLECT JIBU LAKO........and vice versa..
avatar36407_1.gif
 
Hadi chopa? Kweli ccm mmechoka kimawazo. Maccm mwaka huu tena!? Hapana sema hapana kwa masilahi mapana ya Taifa letu. Tumewavumilia sana kwa madudu yao miaka yote, sasa tuseme basiiiiii. Chagua Ukawa chagua Lowassa.


Watahoji na nguo za Lowasa.
 
Mada nyingine za kipuuzi tu.kesho mtauliza rangi ya kinyesi chake!
 
Tatizo sio kukodi chopa nje ya nchi au kupata kibali?Bali ni chopa yenyeww kuwa na uwezo MDOGO wa kubeba watu weng

Kwani ye alisema lini kuwa anataka chopa ya kubeba watu wengi? Au we ndo unajifanya bingwa wa ushauri??
 
Wimbo wa leo: :wink:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom