cesilia
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,233
- 1,252
hahaaaaaaaa wewe kama baba naniiiiUnapomfungulia mke biashara ni lazima kuna vitu uviainishe ili ajue majukumu yake ktk familia.., lkn ukimuacha huru hivyo utajuta baadae
hahaaaaaaaa wewe kama baba naniiiiUnapomfungulia mke biashara ni lazima kuna vitu uviainishe ili ajue majukumu yake ktk familia.., lkn ukimuacha huru hivyo utajuta baadae
Hata wewe unamsupport huyo mwanamke mpumbavu?Ndio uanaume huo.....
Hebu lea familia....
Anyway mkeo hajawahi nunua hata chumvi?
Kununuoia watu wa kwenu na kwao?
Hiyo D.P ndo wewe?!
hahahahaha hivi mnavyoambiwa kuoa ujipange nyie mwadhani ndoa ni kupapata papuchi tuu.
ukitaka kufurahia ndoa kaka yangu gundua kuwa mwanamke hela ni ya kwake kujiremba basi. mambo yote ya msingi yanayohusu nyumba nini wewe mwanaume. hapo wala huna shida.
tambua hili. jukumu la mwanamke ni kugegedwa, kuzaa na kulea watoto. suala la kufungulia biashara au yeye kufanya kazi ni kiherehere chetu sie wanaume.
Mkuu umerudi! Nilijua umekufa, duh!
Wakuu mpo?
Siku nyingi ila nipo nang'ang'ana na maisha.
Nimeoa na nimejaliwa watoto wawili. Nimeajiriwa na moja ya NGOs muhimu nchini. Hii inamaana naikimu familia vizuri.
Mke wangu naye nimemfungulia biashara anayoindesha na wala siingilii hata kidogo. Sababu yangu kuu ya kumfungulia biashara ni hili aweze kunisaidia kuiinua familia yetu juu juu zaidi. Hili halifanyiki.
Nimekuwa nikilipia kila kitu hata yuko radhi asitumie gari nililomnunulia endapo litaisha mafuta muradi tu asitumie hela yake!
Yaani kila kitu nyumbani ninagharamia kuanzia mavazi yake, watoto hadi kibiriti nikijua ni jukumu langu.
Wakuu, nianze kuingilia hiyo biashara ama hela yangu ni yetu na yake ni yake peke yake!?
teh teh tehHaha halafu uckute anaemhonga yupo humu JF anakuchoraaa tu
Haha hebu aweke namba ya huyo mdada inawezekana namjuateh teh teh
kweli aisee unaweza kukuta anayehongwa yumo humu humu..
Hilo halina ubishi.Huyo mwanamke atakuwa mchaga.
Hizi ni akili za kijima sana. Umeelewa sababu za yeye kufunguliwa biashara?huo ndio uanaume sasa. wakati hana biashara alikuwa anachangia nini? punguza complication ndoa yako itadumu