Hela yangu ni yetu na hela yake ni yake?

Hela yangu ni yetu na hela yake ni yake?

huo ndio uanaume sasa. wakati hana biashara alikuwa anachangia nini? punguza complication ndoa yako itadumu
Wanawake huwa mnachangiaga upuuzi sana nyuzi kama hizi,na niliposoma tu ushauri nikajua kuwa lazima huyu ni mwanamke,jinga kabisa nini maana ya kusaidiana kwenye maisha sasa, alafu ukichunguza utakuta ela anasaidia tu kwao utaskia mama , mara mdogo wngu mara ndugu yangu yule,upuuzi mtupu.
 
Huo ndio ubaba komaa mwanangu wanawake huwa hawapigi donation,ukitaka kusaidiwa utasaidiwa nawenzako
 
Nilijua utamtetea Mwanamke mwenzako. Ila usithubutu kuficha ngawira zako kwenye kibubu
Hahajahahaha

Kibubu kitafichwa.....

Si unajua tunakimbia 18% ya vat???

Ila pesa ya mwanamke inatumika kwenye mambo mengi madogomadogo ambayo hamya-appreciate....
 
Hela ya mwanamke ni ya kununua vocha,salon,kununua viatu na Nyanya tuu!

Ina maana ulikuwa hufahamu!
 
Back
Top Bottom