Hela ya mchezo na marejesho ndio chanzo cha wadada wengi kuliwa kiulaini siku hizi

Sio wote mkuu,Wapo wanaojiweza kiuchumi lakini ni chupi mkononi ni tabia ya mtu tu.
Binafsi nimeshaona wengi wanacheza kwa hela ndogo tu kwa wiki ila siku ya kugawana ni kibunda cha maana.
Hiyo hela mkuu wanaitumia kwa matumizi gani ya kifamilia
 
HII NI KWELI KABISA KWA ASILIMIA MIA MOJA....MIMI IMESHANITOKEA NINA BIASHARA YANGU YA HARDWARE KUNA WAKE WATATU WA MTU NIMESHAWALA MPAKA SASA......KILA MMOJA KWA NYAKATI TOFAUTI WALIKOPA PESA ILI WAKAFANYE MAREJESHO ILA NILIPOKUWA NIKIDAI WALIKUWA WAKINIZUNGUSHA NA KUNICHEKEA CHEKEA....NIKACHOMEKA MANENO MATAMU NIKAPEWA MZIGO NIKAWASAMEHE HIZO HELA, ILA WAWILI WAMEENDELEA KUNIZOEA LAKINI MIMI NAWAPOTEZEA.

NILICHOGUNDUA ISHU HAPA SIYO WALA MAMBO YA KIUCHUMI BALI MWANAMKE NI MCHUNGU KUTOA PESA YAKE. ANAWEZA AKAWA NA KIPATO KIZURI ILA BADO AKAWA ANATEGEMEA MTEREMKO.
Safi ila jiangalie wake za watu hao
 
Rafiki yangu wa karibu alinisimulia, kuna mwanamke jirani alienda kwake usiku saa mbili akamkuta amekaa anaangalia tv.. mazungumzo yalikua hivi:

Mwanamke: nakuona umejipumzisha

Rafiki : Yah, nimechoka sana leo si unajua kazi zetu

Mwanamke: Pole, me nimepita kukusalimia tu acha niende zangu

Rafiki: Sawa ahsante, karibu sana

Mwanamke: Ahsante, sasa hiyo 3000 si unipe mimi
(Kulikua na sh. 3000 juu ya meza)

Rafiki: Hiyo ndio ya kuanzia kesho, sina zaidi ya hiyo.

Mwanamke: sasa mfano wifi yangu akipiga simu akataka hela utafanyaje?

Rafiki: nitamwambia asubiri mpaka nikipata

Mwanamke: mwenzako kesho nina marejesho, na wale wenzangu hawatanielewa nikiwaambia sina.. nipe mimi hiyo 3000

Rafiki: Sasa mimi nikikupa na wewe utanipa nini? Mimi sitaki kukudai

Mwanamke: Kwani wewe unataka nini?

Kilichofuatia nadhani kinaeleweka, yule mwanamke aliondoka pale saa 6 usiku na sh 3000 yake.
ohooooo!!!
 
Wasalamu wakuu!

Siku hizi wanawake hasa mijini wako busy na michezo ya upatu na VICOBA au Sacco's . Sasa ikifika siku ya marejesho au Kusubmit pesa ya mchezo wanahaha kabisa mpaka wanaanza kujirahisisha kwa wanaume. Kama mnavyojua sisi wanaume wema wetu huishia kujitunukia nyuchi.

Usikubali mke wako au mpenzi wako ajiingize huko. Katika vitu nilivyomkataza wife ni pamoja na kucheza hii michezo au kukopa vitu kwa Waha.
Kosa kubwa sana hili.
 
Wasalamu wakuu!

Siku hizi wanawake hasa mijini wako busy na michezo ya upatu na VICOBA au Sacco's . Sasa ikifika siku ya marejesho au Kusubmit pesa ya mchezo wanahaha kabisa mpaka wanaanza kujirahisisha kwa wanaume. Kama mnavyojua sisi wanaume wema wetu huishia kujitunukia nyuchi.

Usikubali mke wako au mpenzi wako ajiingize huko. Katika vitu nilivyomkataza wife ni pamoja na kucheza hii michezo au kukopa vitu kwa Waha.
Hii tafsiri yake ameshindwa kutunza pesa yake.
 
Back
Top Bottom