Mudugu
Senior Member
- Mar 17, 2018
- 140
- 130
Hiyo hela mkuu wanaitumia kwa matumizi gani ya kifamiliaSio wote mkuu,Wapo wanaojiweza kiuchumi lakini ni chupi mkononi ni tabia ya mtu tu.
Binafsi nimeshaona wengi wanacheza kwa hela ndogo tu kwa wiki ila siku ya kugawana ni kibunda cha maana.