Hela ya mchezo na marejesho ndio chanzo cha wadada wengi kuliwa kiulaini siku hizi

Mruhusu tu Muha akatishe katishe kwako utakuja kuanzisha Uzi hapa. Mwanamke kisaikolojia tu ni kwamba hapaswi kuzoeana na mwanaume yeyote ukimuondoa mume wake.

Tusiwe na marafiki sasa? Japo wanatongoza kinoma lakini akili yako bana

Ukweli ni kuwa ukishakuwa na marafiki wa kiume ni lazima wakutongoze, tena hii hawakopeshi! yaan mwanaume urafiki hivi hivi hataki, ila tunakomaa nao hivo hivo kibishi bila kuvuana vyupi!

Ila watatu nimewapoteza, yaan hata salamu hawataki baada ya kukomaa mishe ziwe urafiki tu!

Kuna huyu mwingine mmoja ni rafiki yangu kitambo, nadhani nae naenda kumpoteza maana juzi kati kaning'ang'ania kwenye ngazi ( eti uvumilivu umemshinda na jumamosi hii anasubiri simu yangu niamue moja anile urafiki uendelee au nimnyime akate mawasiliano na nisimsemeshe)

Nadhani kitu urafiki mwanaume kwa mwanamke huwa mnashindwa
 
Na mimi naomba niwe rafiki ako, ila stokuvua kyupi...pls
 
hahah Mambo ya kuitana shemeji shemeji nani anataka arifu?Watu wanataka wapate utelezi tu.
 
Tusiwe na marafiki sasa? Japo wanatongoza kinoma lakini akili yako bana

Ukweli ni kuwa ukishakuwa na marafiki wa kiume ni lazima wakutongoze, tena hii hawakopeshi! yaan mwanaume urafiki hivi hivi hataki, ila tunakomaa nao hivo hivo kibishi bila kuvuana vyupi!

Ila watatu nimewapoteza, yaan hata salamu hawataki baada ya kukomaa mishe ziwe urafiki tu!

Kuna huyu mwingine mmoja ni rafiki yangu kitambo, nadhani nae naenda kumpoteza maana juzi kati kaning'ang'ania kwenye ngazi ( eti uvumilivu umemshinda na jumamosi hii anasubiri simu yangu niamue moja anile urafiki uendelee au nimnyime akate mawasiliano na nisimsemeshe)

Nadhani kitu urafiki mwanaume kwa mwanamke huwa mnashindwa
Uliona wapi Simba na Swala ni marafiki?😂😂😂 Wanaume walivyo wahuni hata Chiku keto pamoja na u Tom Boy lakini kuna wahuni wanampiga ukuni!

Yani me hata mpenzi wangu akiniambia sijui flani ni rafiki tu tunagombana. Rafiki gani mnachati muda wote huyo 😂😂😂! Mkiamka ni goodmorning we ulsikia wapiiii...mkilala ni gud nite hio we uliskia wapii???
 
Back
Top Bottom