Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 7,419
- 14,185
Kama mtu angenunua hisa za Amazon mwaka 2001 octoba hisa moja iliuzwa $5.5 kufika mwaka 2021 july. Hisa moja ilikuwa ina thamani ya $3700. Laiti ungenunua hisa 1000. Kama uliwekeza $5500 mwaka huo Leo hii mwaka huu ungekuwa na $3.7M, Ina Mana 12.65M TZS leo hii ungekuwa na
Mfano mzuri bro wangu akinunua hisa za nmb mwaka 2006 za laki tatu tu. Mpaka saivi anazo.mjda huo hisa ilikuwa ni sh 600 saivi hisa ni 1800 muda huu tunaongea hapa. Anadai kila mwaka hakosi 60k na huku amekaa tu Mana ni mvivu hataki kufanya kazi,Kama benki ikienda poa ikakua hii mpaka kizazi Cha kumi watazikuta.Fact mkuu
Mkuu una talanta ganiNaam..!1
Nunua hisa wakati ule Ipo.Mbona hakuna hela rahisi hapo mkuu?
Naona hizo hela zinaliwa na wenye hela, ukiwa na hela za ziada huna pa kuziweka ndipo unazirusha huko.
Ila mimi mwenye hela inayotegemea kuzunguka ili nipate hela ya dagaa ni ngumu kuingia huko.
umeshasema nje huko, tena kwa wenzetu.Nunua hisa wakati ule Ipo.
Nje huko kwa wenzetu Kuna watu wamekaa tu hawafanyi kazi Ila kazi Yao ni kula gawio ambalo their forefathers walipanda.
Mfano mzuri bro wangu akinunua hisa za nmb mwaka 2006 za laki tatu tu. Mpaka saivi anazo.mjda huo hisa ilikuwa ni sh 600 saivi hisa ni 1800 muda huu tunaongea hapa. Anadai kila mwaka hakosi 60k na huku amekaa tu Mana ni mvivu hataki kufanya kazi,Kama benki ikienda poa ikakua hii mpaka kizazi Cha kumi watazikuta.
So aliyenunua za 3M anapata 600k, aliyenunua za 30M anapata 6M kwa mwaka na huku amekaa tu Mana ni wavivu hao kufany kazi.
Njoo aliyenunua 300M anapata 60M as gawio. Hizi Mambo ni Tamu Sana sema zinahitaji hela ndefu na ujue forecast as weatherman anavyocheki kuwa kesho Kuna mvua kutokana na ishu Fulani yaani unakuwa Kama mchawi fulani kwa hapa bongo tunavyopenda kuita.
Ila hizi Mambo ni ngumu Sana balaa yaani sio kirahisi watu wanavyoaminishwa.
Ni Kama unasoma bachelor tatu kwa mpigo like md , Engineering na laws so sio easy wanavyojazana majority Ila ni very simple yaani simple sawa na kumsukuma mlevi.
Soma Soma Soma live your dream no matter what.
If you want to be greater you've to do greater things
Nimeipenda hii mkuu. 50M unapata kitu kwa mwaka like 4.625M kwa mwaka. Sijui ni nyumba gani ya kukulipa hivi. Ila toa perse ya inflation.Pesa nyingine zipo huku, kama una pesa lakini. Risk 0% View attachment 1941131
Hapo 50M inakupa 4m kwa miezi mitatu, toa 10% ya Jamhuri unachukua 3.6m sawa na 1.2m kwa kila mwezi bila kelele. Ukiwa na 100M unachukua 8M kwa miezi mitatu toa 10% ya Jamhuri unabika 7.2M sawa na 2.4M kwa kila mwezi, yaani unalala na kuamka saa sita mchanaNimeipenda hii mkuu. 50M unapata kitu kwa mwaka like 4.625M kwa mwaka. Sijui ni nyumba gani ya kukulipa hivi. Ila toa perse ya inflation.
Afu 10% Withholding tax
Hata hisa ni long term investmentBora ununue bonds sema miaka mingi kwa bond Bora hisa
Ila hisa ni nzuri kuliko bond.Hata hisa ni long term investment