Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 7,393
- 14,133
Kama mtu angenunua hisa za Amazon mwaka 2001 Octoba hisa moja iliuzwa $5.5 kufika mwaka 2021 July. Hisa moja ilikuwa ina thamani ya $3700. Laiti ungenunua hisa 1000. Kama uliwekeza $5500 mwaka huo Leo hii mwaka huu ungekuwa na $3.7M, Ina Mana 12.65M TZS leo hii ungekuwa na bilioni 8.51 TZS. Ndani ya twenty years. Bado watu wanasema kuwa trading or investment in stocks ni scam.
Yaani ngoja niendelee kuibiwa ama kupoteza muda, ama kufanya kazi za mtelezo za kukaa tu Kama kukaaa ndiko kunakonifanya napata hela ngoja nizidi kukaa na kuwa mvivu na kusubiria hela za kupakua aka download.
Jamani investment and trading sio rahisi Kama tunavyoaaminishwa na walioshindwa maana anakuvuta ili akupige hela za training, weekend course, akuuzie kitabu or PDF file, signals, ama account management afu profit 30/70.
Anayekuvutia akupe hivyo kashindwa trading/investment so alternative ni kuchukua hela za watu, ama anayo Ib contract na broker kuwa ukileta vichwa kadhaa bana mie nakupa pip kadhaa kila kichwa so ni kazi yako kuwafundisha na kuwashawishi kujiunga namie Kama broker. kashindwa kuwa patient. Na kuwa mvumilivu ndo sifa kuu ya hizi Mambo. Sie twapenda kesho tu tayari umekuwa millionaire.
Don't give up your dream no matter what.
Nothing worth come easy.