Fundi Madirisha
Senior Member
- Jun 30, 2020
- 184
- 987
Mnatetea nini hivi nyinyi watu kila siku,hivi huna ndugu wewe??Watu wengine buana?,yaani mbele yako unaona kuna moto kuuepuka mpaka serikali ikuambie?,wenzako tuneshaanza kuchukua tahadhali mydamrefu sana,jilinde wewe na jamii yako
#VaaBarakoaCoronaIpo
Njia rasmi za kujikinga kama social distancing, barakoa na sasa chanjo zimeshambuliwa. Kama ungetaka kusikia ungesikia.Mpaka leo, sjaskia tamko lolote la Serikali linalozuia watu kujikinga na Corona
Na mpaka leo hatujasikia kauli ya serikali inayosema kuna korona au kuwapa wamanchi wake updates za korona.Mpaka leo, sjaskia tamko lolote la Serikali linalozuia watu kujikinga na Corona
Kauli hio unataka uisikie kwa kuunganisha herufi ? mbona hata Mheshimiwa anasema kuwa corona ipo,au unahitaji aende TBC upigwe wimbo wa Taifa kisha atoe ilani rasmi,aliposema WaTz tutumie tiba asilia aka nyungu ,mnahisi alikusudia nyungunyungu ?Na mpaka leo hatujasikia kauli ya serikali inayosema kuna korona au kuwapa wamanchi wake updates za korona.
Yani serikali imeamua nchi ijiongoze kama vile rubani anavyo set "auto pilot" then analala ndege ijiongoze yenyewe!!
A shithole gavamenti.
Sidhani kama ni kutetea mkuu, nikweli Serikali inatakiwa itoe neno kuhusu kujikinga lakini kwa vile hakuna dalili za hilo tamko ndio maana mdau anashauri kuwa tusisubiri tamko, ni muda wa kuchukua hatua bila hata tmko.Mnatetea nini hivi nyinyi watu kila siku,hivi huna ndugu wewe??
Sio kutetea ila tunasema ukweli,mfano kuvaa barakoa na kunawa mpaka serikali ikuambia wakati kabisa hali unaiona iko ups down?Mnatetea nini hivi nyinyi watu kila siku,hivi huna ndugu wewe??
Na mpaka leo hatujasikia kauli ya serikali inayosema kuna korona au kuwapa wamanchi wake updates za korona.
Yani serikali imeamua nchi ijiongoze kama vile rubani anavyo set "auto pilot" then analala ndege ijiongoze yenyewe!!
A shithole gavamenti.
Uongozi wa MAT uliosheheni maafisa vipenywa, ni aibu kwa nchi hii na taaluma nzima ya udaktari wa binadamu hapa nchini.Umuofia wanajukwaa!
Kwanza kabisa nitoe masikitiko yangu makubwa sana kwa chama cha madaktari Tanzania MAT, sikutegemea kuona kua hiki ni taasisi iliyojaa unafki mwingi na kujipendekeza. Haina msaada wowote katika wala katika taaluma ya tiba nchini. Ninashangaa na kushtuka mpaka sasa MAT hawajaweka wazi kua Tanzania tuna wimbi la pili la ugonjwa wa COVID-19 kama ambavyo TLS wamesema bayana na pia baadhi ya viongozi wa dini wamesema.
Hongereni sana chama cha wanasheria Tanganyika TLS kwa kuweka msimamo wenu juu ya hali inayoendelea na kuweka wazi kabisa umma kua tuko katika kipindi kigumu cha Wimbi la pili la ugonjwa wa COVID-19. Mmetimiza wajibu wenu kama alivyotakiwa katika vifungu vya sheria za kuanzishwa kwenu. Hakika ninyi si wanafiki ni wakweli na kweli mnasimsmia haki za watanzania ikiwemo ya kuishi.
Tamko la Tanganyika Law Society(TLS), Juu ya Wimbi la Pili la Mlipuko wa Ugonjwa wa Korona nchini
TAARIFA KWA UMMA Ndugu Watanzania, TAMKO LA TLS JUU YA KUWEPO KWA WIMBI LA PILI LA UGONJWA WA KORONA NCHINI Mnamo tarehe 13 Februari 2021 Baraza la Uongozi la TLS lilikutana kutekeleza majukumu yake na moja ya ajenda ya kikao hicho ilikuwa ni umuhimu wa TLS kuitaka Serikali kutoa tamko...www.jamiiforums.com
Yaani chama cha Madaktari ambacho wataalam wake 24hrs wanashinda na wagonjwa na wanaidhinisha vifo vyao washikwe kigugumizi kusema tatizo nini? Wameamua kuiweka taaluma yao mifukoni na kuamua kufanya siasa?
Hiki chama hakifai, wakitaka kujua ni kwanini hakifai watazame michango ya vyama vya Madaktari toka kwa majirani zetu wa Uganda, Kenya, Rwanda na hata mataifa makubwa ya Marekani,Canada,Australia,Uingereza nk. Kivunjwe mara moja hiki chama hakina tija kwa taifa.
Mwisho lakini kwa umuhimu sana, tunawashukuru sana viongozi wetu wa madhehebu baadhi ya dini waliojitokeza wazi wazi kusema kua tunasumbuliwa na tatizo hili la wimbi la pili la homa ya mapafu. Hongereni sana mmeikwepa dhambi ya uongo na hata siku ya hukumu mtalipwa wema wenu.
Ni muhimu kuendelea kuchukua tahadhari, tatizo lipo na linatisha wala hakuna unafki katika hili.
View attachment 1707098View attachment 1707099View attachment 1707100View attachment 1707101View attachment 1707102View attachment 1707103View attachment 1707104
Kibarua = maisha ya watu?Siyo kwamba awawezi sema ukweli wanatetea vibarua vyao waendeshe familia ohoo
Sidhani kama ni kutetea mkuu, nikweli Serikali inatakiwa itoe neno kuhusu kujikinga lakini kwa vile hakuna dalili za hilo tamko ndio maana mdau anashauri kuwa tusisubiri tamko, ni muda wa kuchukua hatua bila hata tmko.