Heko chadema

Luiz David

Member
Jun 13, 2013
56
20
Nafuatilia kwa makini mno yanayotokea chadema,,,, wanao yapinga wanakuja na hoja za ubinafsi na si zenye mahadhi ya chama,,,wanaibua vioja vya udini,ukanda na ukabila,,,,....ndugu zangu kujisafisha kupo.tuelewane na tuwe majasiri..........kina kitila hawajaweka ushahidi wa kutosha wa matumizi ya zile posho zao toka kwa kina kimei,wasira nk,,,,,,na je hizo posho zina afya gani kwa chama?.....naamini hili sakata halihitaji kujibiwa kwa vioja bali hoja za msingi....kama kweli tumeamua kuwa katika siasa za ushindani.
 
Mkuu, siku zote huwezi changanya ukweli na uwongo, mwanga na giza pamoja lazima zijitenge tu.
Sasa ukweli ni kwamba Chadema ni Mwanga na katu uwezi ukaichanganya na giza alafu ukafanikiwa. Wale wote walioibeza Chadema na kutukuza mtu kwa ajili ya jina lake sasa wakati wao wa kuaibika mchana kweupe umefika.
 
Huwezi kumlea yuda iskariote kisa alipata umaarufu kwa kutumia hiki chama,tunafukuza bila kukuangalia usoni na hivi vinavyojitoa ni vibaraka vyake ambavyo vilikuwa mizigo tu kwenye chama!!!
 
Back
Top Bottom