Dr Bagonza! PhD yako unaitendea haki sio akina MLA asusa na wanafiki wenzake! Mungu akubariki sana!Na Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD)
NGUVU na AKILI: TUBOMOE au TUJENGE?
Kuna mwimbaji aliimba, “Bomoa eh, Bomoa Baba Tutajenga kesho”
Na wana mikesha wakaimba,
“Chocheaa, Chocheaa karama ya Bwana chochea”.
Lakini Bwana Yesu anasema katika Mathayo 5:9, “HERI WAPATANISHI MAANA HAO WATAITWA WANA WA MUNGU”.
Nchi ina joto kali. Tunahitaji kiyoyozi cha kupoza siyo heater ya kuongeza joto.
Anayesikia joto kali na anayesikia baridi kali, nani anahitaji kutumia akili kujilinda?
Mwenye joto kali aweza kuvua nguo zote na kubaki uchi ili asisumbuke na joto.
Mwenye baridi anahitaji akili kupata nguo za joto ili kujilinda na baridi.
Kama taifa, kwa sasa tunahitaji akili si nguvu. Nguvu ni kwa ajili ya kubomoa, lakini akili ni kwa ajili ya kujenga. Kwa nini?
1. Hao wana harakati wa Kenya hawakutumwa na serikali yao. Mnaharibu mahusiano ya nchi kwa ujinga wa watu wachache.
2. Wanaojibu kwa kukashifu wakenya, hawajatumwa na rais wala serikali. Uchawa usivuruge mahusiano na nchi jirani.
3. Huyo “mjinga” Gwajima kajituma au katumwa, anajua yeye. Jadilini hoja achana na ukichaa wake. Mlipoiba kura ili ashinde hamkujadili bungeni, leo bunge linafika mwisho ndo mnatuambia mliiba kura? Basi futeni sheria zooote alizoshiriki kutunga. Hatutaki sheria zilizotungwa na mwizi?
4. Sawa, Gwajima kakosa adabu. Nyie mmekosa zaidi kwa kujitambulisha mlivyo wezi.
5. Rais wetu siyo “Katope” kwamba mnamkinga na mvua asiyeyuke. Mbona mnamsengenya kila siku mitaani? Ana uwezo mkubwa tunamjua na hilo mnalijua. Ana roho ya utu na tunaijua. Msimtumie kubariki mambo mabaya yanayotokea.
6. Kutekwa na kupotea kwa watu ni tatizo. Kama kuna aliyeteka kwa kuagizwa na mamlaka ajitokeze tumuone. Kimya hakiondoi tatizo. Shetani Gwajima kahoji jambo jema. Tulikatae kwa sababu limeletwa na shetani? Mamlaka ya kutoa roho tumwachie Mungu aliyeiweka (Mwanzo 2:7).
7. Kwa nini Msajili anaipigia kampeini CHADEMA? Kila hatua anayochukua inachochea moto na kuongeza huruma kwa CHADEMA. Ugaidi na uhaini wa CHADEMA hauongezi uzalendo kwa vyama vingine. CHADEMA ina uwezo wa kujiharibia na tunauona bila darubini. Iache ijifie.
Ameninunulisha vocha nampigia tangu saa mbili asubuhi hapatikani, mwenye namba yake ya Whatsapp anisaidie nimtafute huko Nina shida naye shangazi
Itakuwa hana malinda
Sijajua ana ugomvi gani na Gwajima, mara amuite shetani mara mjinga.Maua kwa Askofu Bagonza💐💐💐💐🌻💐💐🌻🌻🌻💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐🌻💐
Pole zako huwezi muelewa!!Sijajua ana ugomvi gani na Gwajima, mara amuite shetani mara mjinga.
Ok nimeelewa.Pole zako huwezi muelewa!!
Hahaha nilivyoona lile joho na kofia la kwendaa nikajua tuu hapa hamna kitu😂😂😂 How can a std VII failure get a Doctorate of philosophy na huo upupu aliojaza kichwaniVipi ile ya Musukuma aliyotapeliwa online?🤣🤣
Oya manigga umekanyaga waya3. Huyo “mjinga” Gwajima kajituma au katumwa, anajua yeye. Jadilini hoja achana na ukichaa wake. Mlipoiba kura ili ashinde hamkujadili bungeni, leo bunge linafika mwisho ndo mnatuambia mliiba kura? Basi futeni sheria zooote alizoshiriki kutunga. Hatutaki sheria zilizotungwa na mwizi?
Yeye kaamua kua kinyume chakeOk nimeelewa.
Mtu anaewaumbua wenzie kwamba ni watekaji na wauaji wakati walimuibia kura ili atangazwe mshindi huo kweli ni ujinga, ni kukosa shukrani.
Ilitakiwa anyamaze tu au kuwashambulia wakenya kama wanavyofanya wenzie.
Askofu wa chadomo. Amechagua upande hana uhalali wa kushsuri chochote. Nawapongeza KKKT kwa kumpiga chini. Ni hatari kwa Kanisa kuongozwa na wanasiasa.NGUVU na AKILI: TUBOMOE au TUJENGE?
Kuna mwimbaji aliimba, “Bomoa eh, Bomoa Baba Tutajenga kesho”
Na wana mikesha wakaimba,
“Chocheaa, Chocheaa karama ya Bwana chochea”.
Lakini Bwana Yesu anasema katika Mathayo 5:9, “HERI WAPATANISHI MAANA HAO WATAITWA WANA WA MUNGU”.
Nchi ina joto kali. Tunahitaji kiyoyozi cha kupoza siyo heater ya kuongeza joto.
Anayesikia joto kali na anayesikia baridi kali, nani anahitaji kutumia akili kujilinda?
Mwenye joto kali aweza kuvua nguo zote na kubaki uchi ili asisumbuke na joto.
Mwenye baridi anahitaji akili kupata nguo za joto ili kujilinda na baridi.
Kama taifa, kwa sasa tunahitaji akili si nguvu. Nguvu ni kwa ajili ya kubomoa, lakini akili ni kwa ajili ya kujenga. Kwa nini?
1. Hao wana harakati wa Kenya hawakutumwa na serikali yao. Mnaharibu mahusiano ya nchi kwa ujinga wa watu wachache.
2. Wanaojibu kwa kukashifu wakenya, hawajatumwa na rais wala serikali. Uchawa usivuruge mahusiano na nchi jirani.
3. Huyo “mjinga” Gwajima kajituma au katumwa, anajua yeye. Jadilini hoja achana na ukichaa wake. Mlipoiba kura ili ashinde hamkujadili bungeni, leo bunge linafika mwisho ndo mnatuambia mliiba kura? Basi futeni sheria zooote alizoshiriki kutunga. Hatutaki sheria zilizotungwa na mwizi?
4. Sawa, Gwajima kakosa adabu. Nyie mmekosa zaidi kwa kujitambulisha mlivyo wezi.
5. Rais wetu siyo “Katope” kwamba mnamkinga na mvua asiyeyuke. Mbona mnamsengenya kila siku mitaani? Ana uwezo mkubwa tunamjua na hilo mnalijua. Ana roho ya utu na tunaijua. Msimtumie kubariki mambo mabaya yanayotokea.
6. Kutekwa na kupotea kwa watu ni tatizo. Kama kuna aliyeteka kwa kuagizwa na mamlaka ajitokeze tumuone. Kimya hakiondoi tatizo. Shetani Gwajima kahoji jambo jema. Tulikatae kwa sababu limeletwa na shetani? Mamlaka ya kutoa roho tumwachie Mungu aliyeiweka (Mwanzo 2:7).
7. Kwa nini Msajili anaipigia kampeini CHADEMA? Kila hatua anayochukua inachochea moto na kuongeza huruma kwa CHADEMA. Ugaidi na uhaini wa CHADEMA hauongezi uzalendo kwa vyama vingine. CHADEMA ina uwezo wa kujiharibia na tunauona bila darubini. Iache ijifie.
Ukiacha mihemko ya kisiasa na malumbano ya hoja, kuna jambo moja kubwa ambalo hujaguswa vya kutosha – fursa ya biashara iliyojificha katikati ya migogoro hii ya kijamii na kisiasa.NGUVU na AKILI: TUBOMOE au TUJENGE?
Kuna mwimbaji aliimba, “Bomoa eh, Bomoa Baba Tutajenga kesho”
Na wana mikesha wakaimba,
“Chocheaa, Chocheaa karama ya Bwana chochea”.
Lakini Bwana Yesu anasema katika Mathayo 5:9, “HERI WAPATANISHI MAANA HAO WATAITWA WANA WA MUNGU”.
Nchi ina joto kali. Tunahitaji kiyoyozi cha kupoza siyo heater ya kuongeza joto.
Anayesikia joto kali na anayesikia baridi kali, nani anahitaji kutumia akili kujilinda?
Mwenye joto kali aweza kuvua nguo zote na kubaki uchi ili asisumbuke na joto.
Mwenye baridi anahitaji akili kupata nguo za joto ili kujilinda na baridi.
Kama taifa, kwa sasa tunahitaji akili si nguvu. Nguvu ni kwa ajili ya kubomoa, lakini akili ni kwa ajili ya kujenga. Kwa nini?
1. Hao wana harakati wa Kenya hawakutumwa na serikali yao. Mnaharibu mahusiano ya nchi kwa ujinga wa watu wachache.
2. Wanaojibu kwa kukashifu wakenya, hawajatumwa na rais wala serikali. Uchawa usivuruge mahusiano na nchi jirani.
3. Huyo “mjinga” Gwajima kajituma au katumwa, anajua yeye. Jadilini hoja achana na ukichaa wake. Mlipoiba kura ili ashinde hamkujadili bungeni, leo bunge linafika mwisho ndo mnatuambia mliiba kura? Basi futeni sheria zooote alizoshiriki kutunga. Hatutaki sheria zilizotungwa na mwizi?
4. Sawa, Gwajima kakosa adabu. Nyie mmekosa zaidi kwa kujitambulisha mlivyo wezi.
5. Rais wetu siyo “Katope” kwamba mnamkinga na mvua asiyeyuke. Mbona mnamsengenya kila siku mitaani? Ana uwezo mkubwa tunamjua na hilo mnalijua. Ana roho ya utu na tunaijua. Msimtumie kubariki mambo mabaya yanayotokea.
6. Kutekwa na kupotea kwa watu ni tatizo. Kama kuna aliyeteka kwa kuagizwa na mamlaka ajitokeze tumuone. Kimya hakiondoi tatizo. Shetani Gwajima kahoji jambo jema. Tulikatae kwa sababu limeletwa na shetani? Mamlaka ya kutoa roho tumwachie Mungu aliyeiweka (Mwanzo 2:7).
7. Kwa nini Msajili anaipigia kampeini CHADEMA? Kila hatua anayochukua inachochea moto na kuongeza huruma kwa CHADEMA. Ugaidi na uhaini wa CHADEMA hauongezi uzalendo kwa vyama vingine. CHADEMA ina uwezo wa kujiharibia na tunauona bila darubini. Iache ijifie.
TCRA Na TRA Watakuacha uwe huru?Ukiacha mihemko ya kisiasa na malumbano ya hoja, kuna jambo moja kubwa ambalo hujaguswa vya kutosha – fursa ya biashara iliyojificha katikati ya migogoro hii ya kijamii na kisiasa.
Wakati wengine wanabomoa na kuzungumza juu ya nani alisema nini au nani kakosea wapi, wapo wachache wanaotumia mazingira haya kujenga mitandao ya kiuchumi, kupenyeza bidhaa, na kuwekeza kwenye maeneo ambayo wengi hawaoni. Joto la kisiasa linaweza kuwa chachu ya biashara kwa mwenye akili ya kibiashara.
Kwa mfano, mazingira haya ya ukinzani na ukosefu wa maridhiano yanahitaji jukwaa huru la mawasiliano – TV, magazeti, matangazo ya mitandao, majukwaa ya mijadala ya kiraia. Huo ni uwekezaji unaoelekea kwenye mahitaji halisi ya soko, bila kusahau maslai ya kisiasa kwa wahusika kuhama chama kimoja kwenda kingine, na kupata nafasi za uongozi.
Pia, migogoro huongeza kiu ya taarifa sahihi, huduma za usalama binafsi, na hata huduma za kisheria na usuluhishi. Kama taifa linahitaji akili kuliko nguvu, basi akili hiyo itumike kwenye ujasiriamali badala ya midahalo ya kihisia.
Macho kwenye Fursa
Inahitaji IQ ta 💯 na kuendelea ili kunuelewa.Sijajua ana ugomvi gani na Gwajima, mara amuite shetani mara mjinga.
Lisu aliokolewa na Mbowe lakini kwenye ukweli unabaki ukweliOk nimeelewa.
Mtu anaewaumbua wenzie kwamba ni watekaji na wauaji wakati walimuibia kura ili atangazwe mshindi huo kweli ni ujinga, ni kukosa shukrani.
Ilitakiwa anyamaze tu au kuwashambulia wakenya kama wanavyofanya wenzie.
Aliokolewa na Mbowe kivipi?Lisu aliokolewa na Mbowe lakini kwenye ukweli unabaki ukweli