Uda
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 811
- 624
Sina budi kuzienzi hekima za Wassira
Ni busara sio hasira alizotoa Wassira
Ni kweli hasira hasara.
Aliripoka kauli kwa hasira na jeuri
Mithili ya fedhuli eti chadema jeuri
Akapaza na kauli bila kutafakari.
Miezi kumi miwili babu akatabiri
Kama vile tumbili aliyekosa uzuri
Chadema chama nguli kuliona kaburi .!?
WanaJf tafakari !!
.........
Ni busara sio hasira alizotoa Wassira
Ni kweli hasira hasara.
Aliripoka kauli kwa hasira na jeuri
Mithili ya fedhuli eti chadema jeuri
Akapaza na kauli bila kutafakari.
Miezi kumi miwili babu akatabiri
Kama vile tumbili aliyekosa uzuri
Chadema chama nguli kuliona kaburi .!?
WanaJf tafakari !!
.........