Hekima za Babu Wassira...

Uda

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
790
1,000
Sina budi kuzienzi hekima za Wassira
Ni busara sio hasira alizotoa Wassira
Ni kweli hasira hasara.

Aliripoka kauli kwa hasira na jeuri
Mithili ya fedhuli eti chadema jeuri
Akapaza na kauli bila kutafakari.

Miezi kumi miwili babu akatabiri
Kama vile tumbili aliyekosa uzuri
Chadema chama nguli kuliona kaburi .!?

WanaJf tafakari !!
.........
 

MTENGETI

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,379
2,000
Wamekurupuka usinizini kabla ndoto haijaanzwa kuotwa!
Sina budi kuzienzi hekima za Wassira
Ni busara sio hasira alizotoa Wassira
Ni kweli hasira hasara.

Aliripoka kauli kwa hasira na jeuri
Mithili ya fedhuli eti chadema jeuri
Akapaza na kauli bila kutafakari.

Miezi kumi miwili babu akatabiri
Kama vile tumbili aliyekosa uzuri
Chadema chama nguli kuliona kaburi .!?

WanaJf tafakari !!
.........
 

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,280
2,000
Sheikh John Mpiga Ramli kaacha machipukiri..a.ka. sheikh Yahaya(JOHN MBATIZAJI) or msoma nyota......angalia Alitangulia kabla ya utabiri...soon na huyo mzee ajiangalie asitake zuia njia ya Mungu.Mungu hupiga ushindi kwa staili ya ajabu....kumbuka dauni alipiga jiwe tuu akamaliza kazi.hadi sasa CDM wamemaliza kazi nyingi sana na sasa Mizingo haiwezi tena jisogeza na kuelemea yeyote.
 

Gefu

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
6,943
1,500
...yule mzee alikuwa na imani na kikosi kazi alichopandikiza cha akina MM ndo maana aliamini sana na kuongea kama mtabiri kumbe kalamba chaka...
 

Ulukolokwitanga

JF-Expert Member
Sep 18, 2010
8,403
2,000
Wakuu msianze kusherehekea muda bado na 2013 bado haijaisha, huenda CHADEMA ikafa muda wowote kati ya sasa na saa sita usiku ili kauli ya Wassira itimie....

Huu ni ushahidi wa Failure ya Project ZZK
 

chuki

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,705
1,500
Wassira kiboko yenu hata iweje Msumari wa Tyson bado unawaumiza kichwani.
 

KAMP2015

JF-Expert Member
May 27, 2013
281
170
Babu wasira alisema CHADEMA itakufa 2013 na imepita cjui anasema 2013 na sasa ajiandae kumpokea diwani wa CHADEMA atakeyepita bila kupingwa.
Note: huyu babu aache kuropoka kwanza sura yake ni mbaya na yeye tena anatoa matusi
 

mgeni wenu

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
3,667
2,000
Kesho form za serikali zinaanza kutoka CCM bila hadi muda Huu
Babu wasira alisema CHADEMA itakufa 2013 na imepita cjui anasema 2013 na sasa ajiandae kumpokea diwani wa CHADEMA atakeyepita bila kupingwa.
Note: huyu babu aache kuropoka kwanza sura yake ni mbaya na yeye tena anatoa matusi
 

chuki

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,705
1,500
Mnasumbuka sana Vijana, nendeni kanisani mkashukuru Mungu kuwavusha salama na kuuona mwaka 2014.
Naona Wassira anatesa mioyo yenu mpaka mnamuota kila siku.
Na bado ataendelea kuwaweka hivyohivyo mkideffend hoja zake nzito! Lakini mwisho wa siku hamuwezi kushindana nae ninyi pamoja na viongozi wenu wanywa gongo.
 
Mar 31, 2013
49
95
wewe kweli chuki, tangu lini magamba wakaikosesha usingizi chadema. Nyie leteni matusi tu lkn hayawasaidii zaidi ya kuwashusha.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom