Heka Heka za Ndoa.

Heka Heka za Ndoa.

Mwenye jukumu la kumtengeza mwanamke ni mwanaume ( ambae ni mume ). Mwanaume unaweza mfanya mwanamke vile utakavyo, unless mwanamke awe shingo ngumu. All in all.. Mwanamke ahata akizembea kabisa, kule biliani haifai na kavuta mipaka kupakua kabisa kijana wa kazi.. na anamvisha shangaa hapaanaaa aisee
Ni kweli biriyani haifai na sisapoti...
Ujue hizi tabia mbaya zinazofanywa na wanandoa hazikuanza tu!!!!! Nina na Niko sehemu ambayo nakutana na wanandoa wengi kwenye migogoro.....
Sasa ndani ya ndoa kuanzia mwaka wa tano ndoa nyingi zinaanza mdogo mdogo kwenda chini......

Mama atakaa vizuri baba anaweka..... Wanaume ni wavumilivu sanaaaa!!!! Ataanza kuchoka burudani ataanza kutafuta baa na mdogo mdogo atapata washauri na ushauri ataufanyia kazi na atajifunza vitu vipyaa

Unadhani wazee wa zamani walikuwa hawatoki njeee walitoka na mke hakujua na heshima ilikuwepo...

Sasa mwanaume akiridhika anaweza kumfanya chochote na ndio maana huyo baba kaleta mtu ndani Tena jinsia tofauti.

Ndoa ikiwa na ushirikiano itapunguza na kuepusha vitu vingi sana.
 
Mwenye ndoa ni mwanamke, mwenye kuifanya ndoa iwe ndoa na iendelee kuwa moto ni mwanaume. Pale ambapo mwanaume anakwepa majukumu, ndipo bomoko la ndoa linaanza, mwanamke hata awe vipi, as long mwanaume anataka awe namna gani inawezekana. Ingawa inaweza isi work 100%.. Ndoa zinaanza kufa pale wanaume tunapo zembea mambo flani au kushindwa kusoma baadhi ya ishara wanaita red flag.. Ndoa tamu sana
 
Tatizo watu ambao walibidi kukaa single na kufa bila kuoa au kuolewa ndo huwa wanakimbilia kuolewa na kuoa.

Ni sawa na siasa watu wenye akili hawataki siasa Ila vilaza wanakimbilia katika siasa na mwisho ndo haya machafuko yanaikumba dunia VITA haziishi.
 
Mwenye ndoa ni mwanamke, mwenye kuifanya ndoa iwe ndoa na iendelee kuwa moto ni mwanaume. Pale ambapo mwanaume anakwepa majukumu, ndipo bomoko la ndoa linaanza, mwanamke hata awe vipi, as long mwanaume anataka awe namna gani inawezekana. Ingawa inaweza isi work 100%.. Ndoa zinaanza kufa pale wanaume tunapo zembea mambo flani au kushindwa kusoma baadhi ya ishara wanaita red flag.. Ndoa tamu sana
Kabisa,,, na kwa namna Fulani naona tumeelewana na Asante kwa kunielewa.
 
Aliyeunda taaisisi ya ndoa alifeli vibaya .

Taasisi ya ndoa ilibidi kuwa Kama shule sio kila MTU anabidi kuwa intellectual .

The same in marriage sio kila MTU anabidi kuoa au kuolewa, kuwa mke wa MTU au Mme wa MTU .

Kuna mtoto wa mama mdogo wangu Aliwahi kuolewa na jamaa anafanya mazoezi kwa kurudi nyuma yaani anapiga rivers na hasira zikimpanda anapasua TV ,SM , VIOO Ila wakawa wanasema akioa atatulia mwisho ni vifo .
 
Hey wajaa!

Kumbe huko ndoani, kuna njegeka hivii? Watu na ndoa zao mjinii, afu sio shida zao sasa.

Ktk kitu nachochukia na sipendi ni UNAFIKI na KUTOJIKUBALI/ KUKUBALI UHALISIA, kwann uzunguke? Kwann uishi maisha ya mateso? Mahangaiko, eti kisa kuridhisha waja na jamii! Ili iweje yaan? Na kwa kipi hasa? Usawa huu uhahe kuhusu watu watakuonaje? Au kukuchukuliaje? Si utumwa kabisa huu.

Mwisho wa siku ni unaishia kudhalilika na kufadhaika, kile ulichokilinda au kukificha, kinakuwa wazi na hadharani na kinageuka adui au tatizo sasa, lol

Kwa scenario hii, huyu mume ni mpumbavu, toka lini bi mdogo unamleta ndani ya nyumba yako? Tena aishi na mke mwenza? Bi mdogo mwenyewe toleo jipya? Kabisaa? Wacha nicheke? 😂😂😂😂😂, sio kwa ujasiri huo mweeh.

Nae bi mdogo kukubali kuishi na mke mwenza? Haogopii? Ila sometimes toleo jipya wana ujasiri na hawaogopi kitu yaan, mume wa mtu kamchukua na ana mmiliki humo humo ndani, yaan hana wasi wasi, anavaa bikini, shumizi, jamani hadi shangaa anavaa mwayaa 😂😂😂😂😂 aiiiih halali mume achanginyikiwe, na ukute ana umbo maridhawa, aaahView attachment 3446068View attachment 3446069View attachment 3446070 imeishaa hiyoo.

Mambo ndio hayo huko ndoani, uke wenzasio hauepukiki, sasa utaamua awe ke mwenzio, au toleo jipya.

😂😂😂😂😂😂
sio hekaheka za ndoa,ni hekaheka za wanandoa
 
Hey wajaa!

Kumbe huko ndoani, kuna njegeka hivii? Watu na ndoa zao mjinii, afu sio shida zao sasa.

Ktk kitu nachochukia na sipendi ni UNAFIKI na KUTOJIKUBALI/ KUKUBALI UHALISIA, kwann uzunguke? Kwann uishi maisha ya mateso? Mahangaiko, eti kisa kuridhisha waja na jamii! Ili iweje yaan? Na kwa kipi hasa? Usawa huu uhahe kuhusu watu watakuonaje? Au kukuchukuliaje? Si utumwa kabisa huu.

Mwisho wa siku ni unaishia kudhalilika na kufadhaika, kile ulichokilinda au kukificha, kinakuwa wazi na hadharani na kinageuka adui au tatizo sasa, lol

Kwa scenario hii, huyu mume ni mpumbavu, toka lini bi mdogo unamleta ndani ya nyumba yako? Tena aishi na mke mwenza? Bi mdogo mwenyewe toleo jipya? Kabisaa? Wacha nicheke? 😂😂😂😂😂, sio kwa ujasiri huo mweeh.

Nae bi mdogo kukubali kuishi na mke mwenza? Haogopii? Ila sometimes toleo jipya wana ujasiri na hawaogopi kitu yaan, mume wa mtu kamchukua na ana mmiliki humo humo ndani, yaan hana wasi wasi, anavaa bikini, shumizi, jamani hadi shangaa anavaa mwayaa 😂😂😂😂😂 aiiiih halali mume achanginyikiwe, na ukute ana umbo maridhawa, aaahView attachment 3446068View attachment 3446069View attachment 3446070 imeishaa hiyoo.

Mambo ndio hayo huko ndoani, uke wenza hauepukiki, sasa utaamua awe ke mwenzio, au toleo jipya.

😂😂😂😂😂😂
Mambo ya New Version Hayo
 
Kwahiyo unapigilia msumari Wenzio wasioelewe kisa kosa la mtu mmoja? Una kaz sana inaonekana umeshajikatia tamaa kitambo
 
Niko ndoani mwaka wa 12 huu, elewa mwaka sio siku wala miezi.
Ndoa ninayo na ninatambaa nayoo!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom