Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 4,588
- 7,352
The art of steal
Ni nzuri mnoo. Ni mashambuliz ya kumuua rais wa USA nchini Hispania alipokua kwenye mkutanoNah!.. ni nzuri?
Sio mpya lakini ni nzuri mkuumpya hii?
Ndiooo sasa mkuu nisababishie naioataje hii mambo..Tafuteni FAST & FURIOUS 5 A.K.A. FAST 5. Dominic Torreto na tim yake wanakomba 100 million Dollars kutoka kwenye Police station.
huu moto MONEY HEIST ( LACASA DE PAPEL ) ni noma professor ni mastermind