tehetehetehe hata chenga uwanjani zilibuniwa na mchezaji mfupiKikubwa ni kujikubali ulivo na kua mbunifu,mimi naamini ngazi ilibuniwa na mtu mfupi
Hebu muwache daddy etu apumuwe... Huo ufupi ndio ambao mummy measkron aliuzimia lols!!!!!
mwambie vizuri mpe habari yake huyo anataka kuharibu ndoa yakko na daddy
hajui kuwa daddy ni mtu mwenye akili
inshort sifa za kijingadaaaa,! tatizo watu wanachagua wapenzi ili wasifiwe na marafiki zao! unakuta kila siku ni kulialia tu mara hivi mara vile kumbe ulipenda phyaical appearance
Tusijikataee !! WaTanzania asilimia kubwa ni wafupi...na hulka ya uzazi waKigeographia Sisi ni wafupi !! Wazazi wetu wengi ni wafupi....Sasa urefu utatokea wapi !! Yaani tupewe liinchi lenye rasilimali nyingi, ardhi yenye neema ,nk... na urefu tupewe bure !! huo upendeleo una sbb.ganiii??
Ni kweli kuna uhusiano wa tabia na vimo ijapapokuwa si wote. Kwa upande wangu mimi watu niliowahi ishi nao na jamii inayonizunguka kusema ukweli watu wafupi ni wasumbufu wajanja wajanja waongeaji wengine watukutu basi ilimradi wana vitabia fulani tu ambavyo ni kero kwa wenzao. Sijamaanisha wote wapo hivyo ila baadhi yao hususani wale niliowahi ishi nao.Warefu wengi sio ma complicator sio wabishi na huwa hawapendi kuzozana afu wengi wanazalau sana. Wafupi huwa wanajishtukia sana kwamba wanazalauliwa mara nyingi wamekaa mkao wa kujidefend tu. Hata kama watu hawajaonyesha dharau yeye basi anajikweza
Urefu munaouongelea unaanzia futi ngapi?
tazama unachoandika utaelewa.