Heightism ni aina mpya ya ubaguzi

Heightism ni aina mpya ya ubaguzi

Ufupi nyundo ni janga la kitaifa.
Mshukuru Mungu kama una kimo kizuri
Ukiwa short chasis basi ni ubishi na utata kwa kwenda mbele
mie ni mfupi sana na namshukutu mungu sana kwani amenibariki kwa mengi sana

It is all about a checklist and what defines life in one self
 
asante baba na mama kwa kunizaa mrefu kama hasheem thabeet!

msilie sana jamani, haya mambo yapo automatikale, genetics zinasema!

kwanza ukiwa mrefu afu huna hela ni shida tupu..!

ukiwa mrefu halafu ukawa afya mgogoro, ni shida tupu!

ukiwa mrefu halafu ukawa mlevi tena na afya mgogoro juu, ni shida!
 
mie ni mfupi sana na namshukutu mungu sana kwani amenibariki kwa mengi sana

It is all about a checklist and what defines life in one self

Hongera sana
Utapata mafanikio yote ila ufupi kwenye maisha ni bonge la minus.
 
Kila maamuzi unayofanya ni ya kibaguzi. Ubaguzi ni muhimu wakati mwingine. Unakupa daraja.hadhi.nk.
 
ufupi sio kilema ndo maana hatutembelei magongo-stamina

cha msingi watu wafupi inabidi waridhike na hali waliyokuwa nayo na ideology zetu zibadilike juu wa watu wafupi sio ukiktana na mtu mfupi basi unamshangaaa.....
 
Kwa asili Wafupi wanamapenzi ya kweli na niwachapakazi tofauti na warefu.Wafupi wengi wameoa kuliko warefu.chunguza...
 
Nimependa sana comment yako mkuu hongera sana
Ahsante sana mkuu Free ideas kwa ku appreciate ka mchango kangu kadogo. hiyo ni experience yangu niliyoipata na ninayoendelea kuipata kwa hawa watu wafupi pengine ninawaonea naomba tu shee wote exoerience labda kwa upande wako unawaonaje wenzetu wenye kimo kifupi
 
Am so proud of my height. Niku mkumbatia wangu muhibu huwa naona furaha yake. Urefu raha jamani tena ikiwepo na pesa ya kubadilisha dinner kwenye out za maana we acha tu. She's always happy. Siku zote kichwa chake hukilaza kifuani. Na kuanza kusema shida zake weew basi mwanaume najiona... weeeeews napenda height yangu na mwili wangu kwa ujumla. Tulizike na vile tulivyo wapendwa

Unajua jinsi gani unatuchoma?
 
mbona mtu hata awe mfupi vipi mbingu anaiona ila dah urefu una raha yake jamani sio siri
 
Siku hizi kumekuwa na ubaguzi wa kimo/height cha mtu yale ya rangi na dini yanapungua.

Wanaume kwa wanawake katika nyanja nyingi,Kazi,mapenzi,siasa,Urafiki,sanaa na michezo wamekuwa wakibagua na kubaguliwa.

Mapenzi;Mfano humu utasikia natafuta me/ke lakini awe na urefu wa .....

Jeshi pia kimo nacho kigezo.

Sanaa;wafupi ndio wachekeshaji na kukejeliwa.Dwarfs at circus.

Siasa wanachagua warefu wakidhani ndio viongozi bora.Mkapa was short but I like him.

Kwa hiyo watu wamekuwa na insecurities kwa sababu ya kimo.

Anyway mi nina 5.6ft.Kwa wale wanaojiona wafupi wajiamini.

Mifano ya watu maarufu wafupi.Mg.A.H.Mwinyi,B.W.Mkapa,Joti,Steve Nyerere,Aunt Ezekiel,Lulu Michael,salama jabir,calvin Hart,Aki na ukwa,Jack chan,harry potter,Messi,Most of Chinese people.

Ila diamond platnum alikuwa mfupi kwa adebayor sina picha bahati mbaya.

Stop Heightism.

5.6 si is another dwarf.
 
Utakua andunje

hili jina linanikumbusha mbali aiseeeee nilikuwa sijui kama andunje ni watu wafupi sasa siku moja mama alikuwa anadaiwa akanipa maagizo akija andunje apewe hizo pesa sasa mi nikajua huyo dada ndo jina lake andunje alipokuja akaniuliza mama kama kaacha mzigo wake mimi nikamuuliza wewe ndo andunje aiseeeeee kilichotokea siri yangu
 
Unajua jinsi gani unatuchoma?
OOOOOhh my God cyna6 nisamehe sana mkuu sikuwa na intention ya kuwachoma bwana we lizika na height yako mkuu i hope wapo wanao ku appreciate samahani sana mkuu kama nimekuumiza.
 
Nilivyokuwa mdogo nilikua natamani kuwa mfupi maana nilikua nawaonea gere wenzangu waliokua wanapita kwenye vichochoro bila kuinama....

Ila huku ukubwan khaaaaaa
 
Back
Top Bottom