Hehehe!! Tahadhari kwa wanaume wa Dar wanaohamia Dodoma

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,744
48,385
Nimeikuta hii kwenye Whatsapp group fulani....

TAHADHARI KWA WANAUME WA DAR MNAO HAMIA DODOMA! Tabia zenu za kibwege bwege sijui kula bata,
Misemo yenu ya kike kike cjui vepee cjui ni shidaaaaa,
Mambo yenu ya ushirikina na utapeli na wizi wa vifaa vyetu vya magari,
Sijui tabia zenu za kufanya birthday cjui vigodoro na singeli,
Kuulizana maswali ya kijinga kijinga cjui uko insta?fb!?asap!?snapchart?
Sijui vitaulo na tabia za kunukia nukia kama watoto wa kike,
Tabia za kuja na kutupandishia kodi za nyumba mkisha fika hapa,
Fitna, sifa za kijinga, kukata kata viuno hadharani, na ushoga kula madawa ya kulevya cjui mnaita ngada cjui punda nini, kutoa msaada kidogo au kazi ndogo mnadai pesa,
Kuendesha magari spidi mitaani huku mmewasha taa kubwa mchana kama mnawinda cjui jumapili baada ya kwenda kuabudu tunawaona barabarani, mnakimbia cjui ni jogging cjui nn, kupiga piga makelele hasa nyakati za usiku, kuja na vyakula vyenu vya ajabu cjui pweza,
Mambo mambo yenu ya maandamano cjui takataka gani cjui,
Kuchukua wake za watu na kutuaribia ndg zetu wa vyuoni na kuwapiga dada zetu picha za uchi na kupiga piga cjui mnaita selfie vyooni, makaburini, misibani, maiti, majeruhi ajalini,
Ubishi ubishi usio na tija kugomea maagizo halali ya viongozi wa serikali,

TAFADHALI MSITULETEE MIKOSI YENU HUKU HAYO MAMBO YENU YAISHIE HAPO KWA MATIASI AU KILUVYA SISI HUKU HATUTAKI VURUGU VINGINEVYO MTARUDI MMOJA MMOJA
 
Niadd kwa Hilo group flan
 
Wakija huko wabadili na kiswahili chao kile cha kubana pua!mambo yale ukiomba mtu akuelekeze sehemu umepotea hadi umlipe waache mara moja lasivyo watabomolewa wakitukwamisha
 
Nimeikuta hii kwenye Whatsapp group fulani....

TAHADHARI KWA WANAUME WA DAR MNAO HAMIA DODOMA! Tabia zenu za kibwege bwege sijui kula bata,
Misemo yenu ya kike kike cjui vepee cjui ni shidaaaaa,
Mambo yenu ya ushirikina na utapeli na wizi wa vifaa vyetu vya magari,
Sijui tabia zenu za kufanya birthday cjui vigodoro na singeli,
Kuulizana maswali ya kijinga kijinga cjui uko insta?fb!?asap!?snapchart?
Sijui vitaulo na tabia za kunukia nukia kama watoto wa kike,
Tabia za kuja na kutupandishia kodi za nyumba mkisha fika hapa,
Fitna, sifa za kijinga, kukata kata viuno hadharani, na ushoga kula madawa ya kulevya cjui mnaita ngada cjui punda nini, kutoa msaada kidogo au kazi ndogo mnadai pesa,
Kuendesha magari spidi mitaani huku mmewasha taa kubwa mchana kama mnawinda cjui jumapili baada ya kwenda kuabudu tunawaona barabarani, mnakimbia cjui ni jogging cjui nn, kupiga piga makelele hasa nyakati za usiku, kuja na vyakula vyenu vya ajabu cjui pweza,
Mambo mambo yenu ya maandamano cjui takataka gani cjui,
Kuchukua wake za watu na kutuaribia ndg zetu wa vyuoni na kuwapiga dada zetu picha za uchi na kupiga piga cjui mnaita selfie vyooni, makaburini, misibani, maiti, majeruhi ajalini,
Ubishi ubishi usio na tija kugomea maagizo halali ya viongozi wa serikali,

TAFADHALI MSITULETEE MIKOSI YENU HUKU HAYO MAMBO YENU YAISHIE HAPO KWA MATIASI AU KILUVYA SISI HUKU HATUTAKI VURUGU VINGINEVYO MTARUDI MMOJA MMOJA

Loh! Naona umejisahua kidogo - sifa zote hizo zinawahusu Wakenya wa kabila la Gikuyu hasa hasa wanao toka Gatundu.
 
Wanaume wa Dar hatuna noma kwenye kuhonga, basi dada zako tutawahonga sana, usijali
 
Back
Top Bottom