ndizi gani na wewe?
yakuchoma au yakuiva au yakupika?
Naweeee!Jibu nalo bado ni kitendawili, sijui ni NDIZI NYAMA!??
Naweeee!
Hahaha ndizi,unaingiza mdomo wa kibogoyo(mdomo usio na meno) utamu mpaka kwa mlishaji
kukabiliana na changamoto hizi ndiyo maana wlimu wengi wa leo nao wanakuwa machekibob.
Kuraa reekiNaweeee!