hee....... lady doctor amenusulika na hiki kikombe ?...

jamani jamani, mkiendelea kunisema nafichua siri, nisije nikafanywa kama masogange buree
Hebu fichua ila kuwa makini ujue hata mkulu majina anayo ila huwa akikumbuka kilichomtokea A. Chifupa na mumewe na yule Saitoti wa Kenya anaamua kuyalalia tu.. teki kea. Ila wakikutinga sana we sema tu najua Arushaone atakuja kukukomboa atawapa wa sauzi ziwa Nyasa ili wakuachie wenyewe ndo wabaki kuhangaika na Da Joyce.
 
Last edited by a moderator:

basi muniwache nipumue mtoto wa mwenzenu......... Mujini hapa, kila mtu na life yake
 
Last edited by a moderator:
Hebu fichua ila kuwa makini ujue hata mkulu majina anayo ila huwa akikumbuka kilichomtokea A. Chifupa na mumewe na yule Saitoti wa Kenya anaamua kuyalalia tu.. teki kea. Ila wakikutinga sana we sema tu najua Arushaone atakuja kukukomboa atawapa wa sauzi ziwa Nyasa ili wakuachie wenyewe ndo wabaki kuhangaika na Da Joyce.
haaa! inamaana kumbe kuna watu wana nguvu kuliko mkulu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom