Hee! 'Kitimoto' na Mapepo ni Damdam?

Hee! 'Kitimoto' na Mapepo ni Damdam?

Hapa nilipo nimefuga nguruwe 3 waislam wakipita hapa hukunja nyuso zao na kuondoka, zaidi hawa wadudu hufukuza majini, hakuna cha jini makata au sharif majini. Ila hata hao wavaa kanzu wanampenda sana huyu mdudu ila kwa kujificha.
Akili yako haikuona chochote cha kufafanua zaidi? Au inasinyaa hujagundua bado?
 
Mi hua nakuja, na huwa naenda kwenye mikutano ya injili na sijawahi dondoka mbona!!
 
Labda ujaelewa ni kwamba aliyaamulu mapepo wayaingie nguruwe lakini nguruwe wakaona ujinga kuingiliwa na mapepo ni heri kujitupa baharini tufe . Hivyo nguruwe wakajitupa baharini na kufa.. mapepo walipoona wamekosa makazi waliyoamuliwa wakaona waweke makazi tu baharini ndio maana hadi leo hii mapepo makazi yao ni baharini...
Kitendo kile kiliwachosha mapepo na kuwachukulia nguruwe ni kama wendawazimu kujiua hivyo hadi leo mapepo hayataki masihara na nguruwe kabisa..
Umempa jibu la kiwango cha juu sana asipoelewa atakua ana matatizo
 
Labda ujaelewa ni kwamba aliyaamulu mapepo wayaingie nguruwe lakini nguruwe wakaona ujinga kuingiliwa na mapepo ni heri kujitupa baharini tufe . Hivyo nguruwe wakajitupa baharini na kufa.. mapepo walipoona wamekosa makazi waliyoamuliwa wakaona waweke makazi tu baharini ndio maana hadi leo hii mapepo makazi yao ni baharini...
Kitendo kile kiliwachosha mapepo na kuwachukulia nguruwe ni kama wendawazimu kujiua hivyo hadi leo mapepo hayataki masihara na nguruwe kabisa..
Ooh!
Aisee, kumbee.
Asante kwa ufafanuzi wako Ila film imefasiriwa kuwa wale Mapepo walihamishiwa kwenye Makitimoto kutoka kwa Yule mtu sio kuwa;
Mapepo yalikuwa yanawafukuza Ma-kitimoto ili kuwaingia.

Lakini sawa,I give you the benefit of doubts.
 
Mi nakula kitimoto, sijawahi kupata mapepo. Kula nyama wew, imeumbwa na Allah
 
Mkuu! Mapepo yalitolewa kwa yule ndugu na kuamuriwa kuwaingia wale Nguruwe. Tukio haliishii hapo, bali baada ya mapepo kuwaingia Nguruwe, badae Nguruwe wote wanaingia bahari na kufa humo.

Kinachoonekana pale ni kwamba, Nguruwe hakuwa anayataka mapepo, ndio maana aliamua kujitosa baharini na kufa. Hakuna aliyepanga tukio lile bali nature ilihusika. Yani kuna mambo yanatokea kwajinsi yanavyotokea, yakisapotiwa na nature yake.

Nafikiri hiki kinaweza kuwa chanzo cha mapepo/majini na Nguruwe, kutopatana.

Nawasilisha!..
 
kila siku unakunywa maji, na majini ni viumbe roho, vichafu hatari, vinaishi kwene maji na kwa kutokuwa na jina waliviita majini kwa kuwa vinaishi humo hapa napo unapasemeaje?

Kwakuwa hoja ya msingi unaiepa na unajaribu kunipima 'Ujinga' wangu,
Sitakusumbua;

Nikujibu:
Sawa, Tunakunywa Maji pamoja na kuyanywa Majini pia.

Sawa?

Haya,
Nanyi mnaokula Kitimoto,
Pasi na Shaka itakuwa mnakula Mapepo, Hapo vipi?

Hili swali ni kwako wewe tu.
 
In
Mkuu! Mapepo yalitolewa kwa yule ndugu na kuamuriwa kuwaingia wale Nguruwe. Tukio haliishii hapo, bali baada ya mapepo kuwaingia Nguruwe, badae Nguruwe wote wanaingia bahari na kufa humo.

Kinachoonekana pale ni kwamba, Nguruwe hakuwa anayataka mapepo, ndio maana aliamua kujitosa baharini na kufa. Hakuna aliyepanga tukio lile bali nature ilihusika. Yani kuna mambo yanatokea kwajinsi yanavyotokea, yakisapotiwa na nature yake.

Nafikiri hiki kinaweza kuwa chanzo cha mapepo/majini na Nguruwe, kutopatana.

Nawasilisha!..
Eee,
Namna hiyo.
Nimependa ufafanuzi wako.
 
dalalitz kwa vire umesema wewe ni muumini mzuri na mtafutaji wa majibu basi na mie ntakuuliza maswali yangu naamini ulishawahi jibiwa!.
Uliposema yule mtu alipotolewa mapepo yakaelekezwa kwenye kundi la nguruwe na wale nguruwe wakajitosa baharini, lakini hakuna sehemu inayoonyesha nguruwe kutolewa yale mapepo(kwa kukusoma unamaanisha nguruwe wana yale mapepo hadi sasa).
Biblia agano la kale kuna story ya nabii flani nazani ni elia alikua anaenda sehemu malaika wa bwana akatokea njiani akataka kumuua, punda aliyekuwa amembeba elia (if right) akagoma kutembea, elia alimpiga sana yure punda lakini punda akagoma kwenda. Mungu akampa uwezo punda kuongea na punda akamwambia elia "bwana wangu mbona wanipiga..."
swali: Je kuna sehemu uliona wameandika Mungu akampora tena ule uwezo wa kuongea yure punda!?..
sababu kama alisahaulika porwa ule uwezo basi punda wa sasa wangeweza ongea hii ni sawa na kwako kama mapepo hayakuwatoka wale nguruwe basi hadi leo nguruwe wana mapepo
(Jiongeze uonavyo).
 
Mara zote pepo wamtokapo mtu hutafuta sehem ya kwenda,ambapo yanahisi in salama,ndio maana yaliomba yaingie kwa nguruwe haliona in sehem salama,isingekuwa vema kuyaruhusu yaingie mjini au vijijin kuwatesa watu,yesu aliangalia uthamani Wa mwanadam na mnyama ndio maana akayaruhusu,Hata tizama thamani uliyo nayo na mnyama wewe in bora kuliko,Kwa thaman hyo ndio maana waliwaingia wale nguruwe na sikwamba nguruwe wote walipata mapepo,apana walikuwa wale wale waliokua ktk lile eneo,Godbless U
 
Nisisitize kuwa Mimi si mjuzi wa maandiko kama nilivyokwisha toa angalizo.
Nikumbushe pia kuwa nukuu yangu ililalia kwenye filam niliyoiona ambayo pengine ni kwa kuwa ni filam haiwezi kuonyesha matukio mengi.
Na kwa kwa jicho langu la kimaamuma ndio nikaanza kujiuliza nakuja hapa ili nipate hili ama lile.
Kwahiyo lengo langu ni kujifunza ama kufunzana wote.
Sio kudhihaki na kunipa maswali zaidi tena ya hadithi ambazo sijaziona ni kunionea.
 
Nimekupata kiongozi.
 
Inamaana mapepo yalipokuwa kwa mtu, mtu huyo ni pepo?
 
Nisisitize kuwa Mimi si mjuzi wa maandiko kama nilivyokwisha toa angalizo.
Nikumbushe pia kuwa nukuu yangu ililalia kwenye filam niliyoiona ambayo pengine ni kwa kuwa ni filam haiwezi kuonyesha matukio mengi.
Na kwa kwa jicho langu la kimaamuma ndio nikaanza kujiuliza nakuja hapa ili nipate hili ama lile.
Kwahiyo lengo langu ni kujifunza ama kufunzana wote.
Sio kudhihaki na kunipa maswali zaidi tena ya hadithi ambazo sijaziona ni kunionea.
basi ningependa kukuondoa shaka kwamba nguruwe sio mapepo lakini walitumika nguruwe kuwekwa mapepo kwa muda ule tuu..
Na mapepo yale yakaelekezewa baharini kuleta uhalisia katika hali/ufahamu wa kibanaadamu zaidi.
Fikiria biblia ingesema Bwana Yesu akaamuru yamtoke mtu yale mapepo akayaelekeza baharini je ungeamini?
Au ungeambiwa Bwana Yesu alitokea tu toka mbinguni maswali lazima yangekuwa mengi pia!.
 
Ujenzi wa hoja zako ni mujaarab
Ilá sasa unaelekea kuijaribu
Imani yangu juu ya Yesu, maisha yake na pengine na matendo yanayosadikika kuwa aliyatenda kwa upana wake, Ama?

Huo ni mjadala mwingine,mpana na mbao ungependeza kuwa na eneo lake rasmi.
 
Ukitaka kuwin imani ya watu jiunge nao! hilo hata Mwenyezi Mungu alilijua ndio maana akamleta kwa mfano wetu tukala nae, kunywa nae na mengineyo!..
Ili tusiende nje ya mada amini Nguruwe sio pepo au ana pepo bali alitumika kutuletea uhalisia wa tukio husika ndio maana kulikua na mfugaji wa nguruwe na sio ng'ombe wala mbuzi kwenye wakati husika wangekuwepo hao wanyama leo ingekuwa habari nyingine nazani!..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom