Hedaru inaongoza kwa ngono Tanzania!

Nathubutu kuwasifu watu wa hedaru japo nina wacwac na utafiti huu! kwanza watu wa hedaru wana uelewa wa elimu ya afya kwan wanatumia kinga kuepuka magonjwa km ukimwi na mimba ziczotarajiwa,pili wana hela kwan wanafanyia mambo yao gest sehemu safi na salama na mwisho wanafanya mambo yao wakati wa ucku watoto wakiwa wamelala na baada ya muda wa kazi.
 
Mbona jibu hapo liko too simpo! Refar username yake, yeye "MITI" anapigia "SHAMBA" kwa hiyo hapo gest hakua busy ndiyo maana akayaona mengi !.

Kama ID yako ilivyo: "Judgement" so kazi yako ni kuwa-judge watu kwa namna brain yako inavyokutuma.
 
habari ya uhakika: shule ya msingi katika kata moja huko hedaru, ilibidi ifungwe kwa kipindi fulani kwani karibu waalimu wote walikuwa wagonjwa (wa ukimwi). nasikia kabila la watu wa hapo (w**p**r**) wamechanjia kwa ngono!
 
ni vema ukaitaja hiyo shule na kata ilimo. vinginevyo utakuwa unamwaga upupu mkali sana ule wa kujikuna hadi ngozi kuchubuka
 
habari ya uhakika: shule ya msingi katika kata moja huko hedaru, ilibidi ifungwe kwa kipindi fulani kwani karibu waalimu wote walikuwa wagonjwa (wa ukimwi). nasikia kabila la watu wa hapo (w**p**r**) wamechanjia kwa ngono!

Inabidi wizara iajili walimu wengine
 
Mwaka jana mwishoni nilitoka safarini ikawa night kali na ndipo nikaona mwendo wa usik siyo issue nikaamua kuweka kambi pale usiku huo na nikapita kutafuta gest na nipo nikakuta gest yenye maneno haya "IKIZIMA PAPASA IKIWAKA MULIKA GEST HOUSE" yani niliyatafakari hayo maneno bila ya majibu. Kweli pale Hedaru kiboko!
 
Umeona eeeh, naipata hiyo gesti ni balaa.
 
Huyu ni muongo Hedaru ni mji wa wa Wasabato na siku za wiki wanakuwa mashambani na jioni wanakuwa makanisani wakiomba na kusali, hebu aache kukashifu mashemeji zangu....................ebo!
Wewe hujui kaka yangu binamu kawowa pale!
 
habari ya uhakika: shule ya msingi katika kata moja huko hedaru, ilibidi ifungwe kwa kipindi fulani kwani karibu waalimu wote walikuwa wagonjwa (wa ukimwi). nasikia kabila la watu wa hapo (w**p**r**) wamechanjia kwa ngono!

This is abuse to the ethnic group of Hedaru. Ngoja waje wenyewe.

Huyu mtoa mada anatumia hisia ukweli ni mdogo sana Nimekaa Hedaru-same sijaona hayo asemayo tena kilichonipeleka usiku ulihusika.Ulikuja na Thread hapa Wachaga hawajui mapenzi leo umewavamia wapare na ngono endelea yapo makabila zaidi 120...
 
  • Thanks
Reactions: Sal
hedaru ipo barabara ya Arusha, Dar, ukitoka same unafika makanya kisha hedaru, nadhani kuna mji mwingine mbele kisha unafika mombo then korogwe.

kunautafiti kuwa kiwango cha ukimwi ni kikubwa sana pale.
 
Sasa Mkuu umefika Hedaru saa 8, kilichokufanya usiendelee na safari ni nini? Ulikuwa na muda wa kutosha kufika hata Arusha? Bado na Mzigo wenye thamani ukaulaza Hedaru!!! Iko siku utaibiwa ndo utakoma ku-retreat vichochoroni. Au ulishayajua masuala ya Hedaru kabla?
 
Mitishamba mimi naomba nikupongeze,ninachojua mimi nchi hii truck drivers majority elimu yao P7 na sana sana form 4,sasa mwenzetu una maujuzi ya kompyuta hadi ung'enge wa kutumia maneno kama 'retreat',Mkuu nakupongeza sana,you are avery exceptional driver!
 
Ukiendesha gari, hasa gari kubwa kila baada ya masaa (kiswahili fasaha ni saa) 8 (yaani after every 8hrs) ni lazima upumzike. Hatukuwa na sababu ya kutembea usiku zaidi ya kulala.
 
Mitishamba mimi naomba nikupongeze,ninachojua mimi nchi hii truck drivers majority elimu yao P7 na sana sana form 4,sasa mwenzetu una maujuzi ya kompyuta hadi ung'enge wa kutumia maneno kama 'retreat',Mkuu nakupongeza sana,you are avery exceptional driver!

Mkuu watu wamesoma sana siku hizi siyo kama zamani. Nenda hapo Congo, Kenya, Zambia au SA; wapo truck drivers ambao wamefika hadi chuo kikuu.

Hata hivyo kwa kampuni ninayofanyia kazi mimi kiwango cha elimu cha chini kabisa kinachotakiwa kwa driver ni form four. Baada ya hapo huwa kuna kozi mbalimbali za kutuendeleza ikiwamo hiyo ya kompyuta pamoja na nyingine nyingi za kitaalamu. Sifanyi kazi kwa mhindi mkuu!.. lol!
 
Back
Top Bottom