mitishamba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 697
- 111
- Thread starter
- #41
Namnani mitishamba,ja dhiiku?
ndejedi, jamisi!
Namnani mitishamba,ja dhiiku?
Huyu mtoa mada anatumia hisia ukweli ni mdogo sana Nimekaa Hedaru-same sijaona hayo asemayo tena kilichonipeleka usiku ulihusika.Ulikuja na Thread hapa Wachaga hawajui mapenzi leo umewavamia wapare na ngono endelea yapo makabila zaidi 120...
Hedaru ni wapi nishasahau,tukumbushane.
hedaru ipo barabara ya Arusha, Dar, ukitoka same unafika makanya kisha hedaru, nadhani kuna mji mwingine mbele kisha unafika mombo then korogwe.
kunautafiti kuwa kiwango cha ukimwi ni kikubwa sana pale.
Wenyeji wa Hedaru kabila gani vile?
ndejedi, jamisi!
Nathubutu kuwasifu watu wa hedaru japo nina wacwac na utafiti huu! kwanza watu wa hedaru wana uelewa wa elimu ya afya kwan wanatumia kinga kuepuka magonjwa km ukimwi na mimba ziczotarajiwa,pili wana hela kwan wanafanyia mambo yao gest sehemu safi na salama na mwisho wanafanya mambo yao wakati wa ucku watoto wakiwa wamelala na baada ya muda wa kazi.

Mkuu mi sijaelewa hapo uliposema nukuu "mlikua mkipeleka mzigo wa thamani kubwa" mwisho nukuu.
Mantiki yake nini na thread main agenda ? Inatusaidia nini wachangiaji wewe kubeba mzigo wa thamani ndogo au kubwa ?
Mitishamba mimi naomba nikupongeze,ninachojua mimi nchi hii truck drivers majority elimu yao P7 na sana sana form 4,sasa mwenzetu una maujuzi ya kompyuta hadi ung'enge wa kutumia maneno kama 'retreat',Mkuu nakupongeza sana,you are avery exceptional driver!
Nakuombea kwa mungu akulinde na usiingie majaribuni.
wapare ..wabaya hao ukimpa mke wako ampeleke sehemu hafiki ila pesa itafika
Husninyo, nitakuganda kama ruba mpaka ukiri!
nimeshasahau hii hedaru iko njia gani, tukumbushane tafadhali
heee! Usinikondeshe mtoto wa mwanaume mwenzio. Hebu niambie unataka nikiri nini maana nimeformat memory card.