Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,385
Hedaru ipo Kilimanjaro mpakani na Tanga
Duh! Umemaliza UDOM nini?
Hedaru ipo Kilimanjaro mpakani na Tanga
Duh! Umemaliza UDOM nini?
Mimi ni dereva wa malori makubwa na mara nyingi nafanya safari za ndani ya mikoa nchini pamoja na ng'ambo.
Wiki jana nilikua napeleka mzigo wa thamani kubwa nchi jirani maeneo ya kaskazini.
Tulipofika Hedaru mida ya saa 8 mchana ilibidi tupumzike kwa ajili ya kupata chakula na ku-retreat. Cha kushangaza mida ya mchana hatukuona watu wengi kivile.
Ilipofika saa kumi na moja jioni tukashangaa kuona watu wa rika mbalimbali mitaani wengi wao wakiwa wa jinsia ya kike. Kadri muda ulivyokuwa unazidi kwenda ndivyo idadi ya watu ilivyokuwa inaongezeka tena safari hii wakiwa katika pair. Usiku sasa ndio ukawa kama mchana. Gesti zote zilikuwa zimejaa. Pale tulipofikia dustbin zote zilikuwa zimejaa mipira iliyotumika, kwa makadirio tu ilikuwa si chini ya ndoo mbili.
Nilijaribu kumwuliza jamaa mmoja mwenyeji wa pale inakuwa hii, jamaa akasema hii ndo Hedaru bwana! Mchana watu wanalala, usiku ni majambozi kwa kwenda mbele.
Nilitamani asubuhi ifike haraka, na kulipokucha tu niliwasha lori niwahishe mzigo wa watu.
Lakini kiukweli: Hedaru inaongoza kwa ngono!
Acha utani hivi hedaru INA wakazi wangapi kiasi kwamba gest moja ndom ndo mbili piga hesabu ya haraka tuu ni kondom ngapi zinzweza jaza ndoo moja aisee acha ukuda humu hamna watoto wenzako
Elezea japo kwa kifupi.Hedaru ni mwishoooo asee hadi maneno ya kuelezea yanaisha
Wenyeji wa Hedaru kabila gani vile?
Labda wanazivaa mpaka vidoleni ,average mtu mmoja atakuwa amevaa ndom 21, mara vyumba vilivyopo let say vyumba 21, kwa hiyo short time moja itazalisha ndomu 441 , mara usiku mmoja ambao utakuwa na short time 10 kwahiyo mpaka anaenda kupiga mswaki ambapo hizo ndoo ndio zimewekwa jirani na choo , kutakuwa na ndomu 4410 , ndio maana akaona zimejaa , labda tumuulize hizo ndoo ni za ujazo gani? 10ltrs au 20ltrs?.Acha utani hivi hedaru INA wakazi wangapi kiasi kwamba gest moja ndom ndo mbili piga hesabu ya haraka tuu ni kondom ngapi zinzweza jaza ndoo moja aisee acha ukuda humu hamna watoto wenzako