PreGE2025 Heche: Serikali ya Samia Iliagiza Mayai, Nyama na Vipapatio vya Kuku kutoka Marekani kwa Dola Milioni 24.8

PreGE2025 Heche: Serikali ya Samia Iliagiza Mayai, Nyama na Vipapatio vya Kuku kutoka Marekani kwa Dola Milioni 24.8

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,499
Oyoooo yooooo

Atupe habari zaidi.. Maana duh!!

Kweli kabisa hili au udaku?
 
We heche naomba usimguse samia

Milion 24 ndio unaona kubwa kwa rais wetu kula kweli
 
No reform 1-0 kazi na utu dakika ya kwanza😅😅
Heche ⚽
Wasira -penalty missed
 
Sasa majinga km haya ndiyo yas
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche amesema Serikali ya CCM kupitia Rais Samia mwaka jana iliagiza Mayai, Nyama na Vipapatio vya Kuku kutoka Marekani kwa Dola Milioni 24.8

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Sasa majinga km haya ndiyo yashinde uchaguzi? Wazushi, waongo, wapotoshaji zaidi ya ujinga ujinga hakuna la maana la kuwaambia wananchi
 
Back
Top Bottom