Heche ni hatari kwenye siasa za nchi hii kiasi hiki?

Torra Siabba

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
288
Reaction score
412
Kesho jumapili kulipangwa kipindi maalumu cha CAFETALK ambacho waongozaji wake walipangwa Kuwa Salim Kikeke na muuliza maswali nguli Masoud Kipanya, ghafla likatoka tangazo juu ya kwamba Heche hatahojiwa sababu ya chama chake kuzuiwa siasa...

Sasa Je ni kweli kwamba Heche ni hatari kwenye siasa za nchi yetu kiwango hicho?
 
Kesho jumapili kulipangwa kipindi maalumu cha CAFETALK ambacho waongozaji wake walipangwa Kuwa Salim Kikeke na muuliza maswali nguli Masoud Kipanya, ghafla likatoka tangazo juu ya kwamba Heche hatahojiwa sababu ya chama chake kuzuiwa siasa... sasa Je ni kweli kwamba Heche ni hatari kwenye siasa za nchi yetu kiwango hicho?
apart from that, anakwenda kama heche na si makamu mwenyekiti
 
Kesho jumapili kulipangwa kipindi maalumu cha CAFETALK ambacho waongozaji wake walipangwa Kuwa Salim Kikeke na muuliza maswali nguli Masoud Kipanya, ghafla likatoka tangazo juu ya kwamba Heche hatahojiwa sababu ya chama chake kuzuiwa siasa...

Sasa Je ni kweli kwamba Heche ni hatari kwenye siasa za nchi yetu kiwango hicho?
Heche ni mtu na nusu,CCM wangekuwa na mtu/watu mfano wa Heche kusingeharibika namna hii
 
Kesho jumapili kulipangwa kipindi maalumu cha CAFETALK ambacho waongozaji wake walipangwa Kuwa Salim Kikeke na muuliza maswali nguli Masoud Kipanya, ghafla likatoka tangazo juu ya kwamba Heche hatahojiwa sababu ya chama chake kuzuiwa siasa...

Sasa Je ni kweli kwamba Heche ni hatari kwenye siasa za nchi yetu kiwango hicho?
Zuio la mahakama liko wazi kuwa ni marufuku rasilimali za CHADEMA kutumika kwenye siasa hadi kesi iamuliwe

Hao akina Kikeke na kukaa uingereza kote hawajui tafsiri ya rasilimali au resources za taasisi au chama? Kuwa resources sio majengo na magari na akaunti tu kuna rasilimali watu yaani human resources za chama Heche ni Rasilimali watu ya Chadema

Walimruhusuje ,wajinga wakubwa
.uingereza hajujawapa weledi wa mambo?
 
Ahojiwe kama Mwananchi wa kawaidw kwani kuna ubaya?
 
Kesho jumapili kulipangwa kipindi maalumu cha CAFETALK ambacho waongozaji wake walipangwa Kuwa Salim Kikeke na muuliza maswali nguli Masoud Kipanya, ghafla likatoka tangazo juu ya kwamba Heche hatahojiwa sababu ya chama chake kuzuiwa siasa...

Sasa Je ni kweli kwamba Heche ni hatari kwenye siasa za nchi yetu kiwango hicho?
Heche namkubali ni Mzalendo sana
 
Fear of the unknown
 
Back
Top Bottom