Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 22,980
- 27,914
Ni lazima ajionyeshe yupo serious tena mkali kweli kweli,dhidi ya chama lake,asipofanya hivyo hamtajaa kwenye mtego!,naye akale wapi? Wakati punda zipo!Yan ungekuwa karibu yangu ningekutaka bonge la kibaooo ... hivi wewe unamjua vizuri Heche wewe ??? Mtaangaika naye sana ila hamuwezi kumkatisha tamaa
Hakukuwa na uchambuzi wowote zaidi ya infos za kuonyesha watu,hawa viongozi wa CDM ni watu wa aina gani?Sikuhizi Hadi wajinga nao ni wachambuzi wa siasa
LEMA HUWA HANA TABIA YA KUONGEA KITU CHA UONGO HATA SIKU MOJA AKA NABII LEMA.Lema kaongea ukweli mtupu
Amesaliti niniUko sahihi ,Heche ni msaliti
Sio kweli mbona lissu alipewa pesa ndefu na Abdul ila akazikataa?LEMA HUWA HANA TABIA YA KUONGEA KITU CHA UONGO HATA SIKU MOJA AKA NABII LEMA.
Binafsi huwa nawachekaga tu wajinga hoo eti heche ndiye mwana mageuzi wa kweli,mara hoo heche ndiye shujaa wetu,mavi yao!,kila mtu yupo kwenye yarabi nafsi yake na ugali wa familia yake,#mioyo ya akina NYERERE haipo tena nyakati hizi,wakati huu ni wakati wa kila mtu kuonyesha uzuri wa ghorofa lake!ππππ
Aliletewa kihasara hasara pia itakuwa anajilaumu mpaka kesho!,(kuna fedha zinakuja kwa mtindo ambao ni hatarishi kwa nafasi yake,hizo zingemjia heche dadeki zake!...amin hatuna wanamapinduzi kama akina nyerere!Sio kweli mbona lissu alipewa pesa ndefu na Abdul ila akazikataa?
Kwani Lema ndiye aliambiwa azipeleke salamu au ni kimbelembele chake. kila kitu kina itifaki yake, Lema atasumbua sana Chadema kama alivyofanya.Mbowe. Kuweni macho na hawa Makapi ya CCMHabari za asubuhi kuna kila dalili John Heche anamsaloti Lissu. Tundu Lissu alinukiliwa akisema Makamu nifikishie Taarifa za pole lakini heche hataki mpaka Jana Lema ndio kafikisha hizo salamu.
Lakini haitoshi katika chapisho la Lema alisema John Heche amepata Passport yake kwa njia tofauti na hali ya kawaida.
Sema tatizo la Lema siyo mtu.wa Team Work atawabomoa,hachagui maneno ya kusema hususani kipindi hiki kigumu.LEMA HUWA HANA TABIA YA KUONGEA KITU CHA UONGO HATA SIKU MOJA AKA NABII LEMA.
Binafsi huwa nawachekaga tu wajinga hoo eti heche ndiye mwana mageuzi wa kweli,mara hoo heche ndiye shujaa wetu,mavi yao!,kila mtu yupo kwenye yarabi nafsi yake na ugali wa familia yake,#mioyo ya akina NYERERE haipo tena nyakati hizi,wakati huu ni wakati wa kila mtu kuonyesha uzuri wa ghorofa lake!ππππ
Kuja kihasara ndio kukoje? Sio kila mtu anapenda fedhaAliletewa kihasara hasara pia itakuwa anajilaumu mpaka kesho!,(kuna fedha zinakuja kwa mtindo ambao ni hatarishi kwa nafasi yake,hizo zingemjia heche dadeki zake!...amin hatuna wanamapinduzi kama akina nyerere!
Mbona hakutwambia wapiga Kura wake kwamba aliuza ubunge kipndi hicho?LEMA HUWA HANA TABIA YA KUONGEA KITU CHA UONGO HATA SIKU MOJA AKA NABII LEMA.
Binafsi huwa nawachekaga tu wajinga hoo eti heche ndiye mwana mageuzi wa kweli,mara hoo heche ndiye shujaa wetu,mavi yao!,kila mtu yupo kwenye yarabi nafsi yake na ugali wa familia yake,#mioyo ya akina NYERERE haipo tena nyakati hizi,wakati huu ni wakati wa kila mtu kuonyesha uzuri wa ghorofa lake!ππππ
Unapomshambulia LEMA yeye binafsi usiri humwondoka na kuweka mambo hadharani ambayo ni faida kwa sisi wanachama kuyatambua!?....Sema tatizo la Lema siyo mtu.wa Team Work atawabomoa,hachagui maneno ya kusema hususani kipindi hiki kigumu.
UpuuzweHabari za asubuhi kuna kila dalili John Heche anamsaloti Lissu. Tundu Lissu alinukiliwa akisema Makamu nifikishie Taarifa za pole lakini heche hataki mpaka Jana Lema ndio kafikisha hizo salamu.
Lakini haitoshi katika chapisho la Lema alisema John Heche amepata Passport yake kwa njia tofauti na hali ya kawaida.
Ilianza kwa Heche kusingiziwa kula michango ya CDM wapambe wakalishikia njuga likapita, likaja jingine eti Heche hataki maridhiano ili Mwenyekiti Lissu aendelee kusota gerezani lakini Lissu mwenyewe akawaumbua hadharani na kusema azidi kuwa pelekea moto.Habari za asubuhi kuna kila dalili John Heche anamsaloti Lissu. Tundu Lissu alinukiliwa akisema Makamu nifikishie Taarifa za pole lakini heche hataki mpaka Jana Lema ndio kafikisha hizo salamu.
Lakini haitoshi katika chapisho la Lema alisema John Heche amepata Passport yake kwa njia tofauti na hali ya kawaida.