William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
kuna umuhimu wa kujua level za elimu hapa jf, hivi kweli mkuu unaijua analysis? Ccm is a national disaster!
ni bora kunyamaza kulikokuandika historia usiyoijua. Dr slaa alishinda ila mkamwengua kwa mizengwe yenu, wazee wakakasirika na kumwomba atafute chama kingine watamuunga mkono ndipo slaa akahamia chadema na kuikomboa karatu.
Upo hapo wewe vuvuzela mdogo.
Heche, kilichomkimbiza Slaa CCM ni ushindani ndani ya chama ambao kwake ulikuwa ni maji marefu. Kwa kuwa Nape alishindwa kura za maoni kama alivyoshindwa Slaa, Nape ndio SIZE haswa ya Slaa.
Hata ndani ya CDM (ukiondoa hapa JF na kubebwa na wazee) Slaa hana nguvu yoyote hata kesho ukiitisha uchaguzi wa ndani na ukafanywa kwa haki Slaa hawezi kumshinda Zitto kwa kura.
Hii ndio sababu haswa kuna juhudi kubwa za kumbeba Slaa na kumchafua Zitto kila kukicha ili tu kumjengea uhalali wa 2015 ili aendelee kubeba maslahi ya mabwana zake.
Sijui kama mnafahamu mnachoongea ila utaratibu wa kumpata mgombea ubunge katika CCM hauishii kwa kura za maoni, kuna ngazi lukuki baada ya kula maoni kuanzia wilaya, mkoa hadi taifa. Sasa kama mnaongelea utaratibu wa NGO yenu ambapo mgombea anaweza kuchaguliwa kwenye vitoti vya mbege sawa ila kwa utaratibu wa CCM, Slaa alikuwa na alama D kuanzia kwenye kata yake na taifa akapigwa chini.
bado unathibitisha ujinga wako,unajuaje kama mimi viongozi wangu ni wa cdm? Huo ndo uzezeta! Kweli kama ni msomi basi ukada umekujaa, ina maana kabla ya uchaguzi ccm walikuwa na kata ngapi? Na baada ya uchaguzi hicho chama unachoshabikia kilibaki na ngapi? Haitaji level ya sekondari kujua!- Sure ungeanza na elimu ya Viongozi wako huko Chadema, kwanza ya Mwenyekiti wako, Katibu wako and then yako sasa hapo ndio utakuwa na authority ya kuuliza elimu za wengine, au?
Es!
mfumo huo wa ccm umewekwa kuwalinda wafalme katika chama pamoja na mafisadi, ndo maana tunasema ccm imekumbatiwa na mifumo ya kifisadi na inayolea wafanyabiasha mafisadi kama wale waarabu koko wa moro!Sijui kama mnafahamu mnachoongea ila utaratibu wa kumpata mgombea ubunge katika CCM hauishii kwa kura za maoni, kuna ngazi lukuki baada ya kula maoni kuanzia wilaya, mkoa hadi taifa. Sasa kama mnaongelea utaratibu wa NGO yenu ambapo mgombea anaweza kuchaguliwa kwenye vitoti vya mbege sawa ila kwa utaratibu wa CCM, Slaa alikuwa na alama D kuanzia kwenye kata yake na taifa akapigwa chini.
Heche, kilichomkimbiza Slaa CCM ni ushindani ndani ya chama ambao kwake ulikuwa ni maji marefu. Kwa kuwa Nape alishindwa kura za maoni kama alivyoshindwa Slaa, Nape ndio SIZE haswa ya Slaa.
Hata ndani ya CDM (ukiondoa hapa JF na kubebwa na wazee) Slaa hana nguvu yoyote hata kesho ukiitisha uchaguzi wa ndani na ukafanywa kwa haki Slaa hawezi kumshinda Zitto kwa kura.
Hii ndio sababu haswa kuna juhudi kubwa za kumbeba Slaa na kumchafua Zitto kila kukicha ili tu kumjengea uhalali wa 2015 ili aendelee kubeba maslahi ya mabwana zake.
bado unathibitisha ujinga wako,unajuaje kama mimi viongozi wangu ni wa cdm? Huo ndo uzezeta! Kweli kama ni msomi basi ukada umekujaa, ina maana kabla ya uchaguzi ccm walikuwa na kata ngapi? Na baada ya uchaguzi hicho chama unachoshabikia kilibaki na ngapi? Haitaji level ya sekondari kujua!
tofauti zako ni very shallow, mimi najua nape ni mtoto wa mozes nnauye basi, na la ziada kapewa vyeo kwa mfumo wa huyu ni mtoto wa mwenzetu na si vinginevyo. Maana hakuna popote nape alipochaguliwa na wananchi zaidi ya kuteuliwa. Labda unijuze! Dk slaa sifa zake wazijua sema tu ulevi wa ukada. Siwezi kukulazimisha maana binadamu ni wachache ila watu ni wengi.- Well, umesema unataka kujua level ya elimu kwanza ya unaojadiliana nao, nimekwambia anza na elimu ya Viongozi wako kuanzia Mwenyekiti wako mpaka Katibu, and then useme yako, badala yake una mapovu mengi hoja ipo wapi mtu?
- I mean elimu ipi unayohitaji kuwa nayo kujua kwamba Mwanza, Slaa na Nape wamepambana, Slaa akakimbia kabla ya matokeo kutangazwa! Sasa wanakuwaje one size ndio sielewi, Nape ni Katibu wa Chama Tawala for the last 51 years, unamlinganishaje na Katibu wa Chama ambacho toka kianzishwe kinashindwa tu? I don't get it!1
ES!
ZITO KABWE ameingiaje hapo kwenye huu uzi,Hoja ni Slaa na Nape. au unalitaka kukiri zitto ni ccm.mbona uchangiaji wa aina hii kama unamatatizo fulani .
mkuu hiyo inaitwa nichane live!ccm ni kama maiti inayosubiri siku ya mazishiDr Slaa hakushindwa kwenye kura za maoni za CCM alishinda, kama watu kama wewe ndio wametumwa kuitetea CCM(MFU) umu basi mazishi yake yamekaribia.
Nilitaka kukutukana, lakini nimeona labda uwezo wako wa kuelewa ndio umefikia hapo sasa nina jukumu la kukusaidia. Ili kulinganisha nguvu ya hawa wawili inatubidi pia kuangalia nafasi na nguvu zao katika vyama vyao. Mtu pekee anayeweza ku demonstrate nguvu ya kukubalika ndani ya chama cha Slaa ni Zitto. Hapo ndipo Zitto anapoingia, kuonesha kuwa hata ndani ya chama chenu bado Slaa hana nguvu kiasi hicho hata ukimlinganisha na naibu katibu mkuu wenu.
Heche, kilichomkimbiza Slaa CCM ni ushindani ndani ya chama ambao kwake ulikuwa ni maji marefu. Kwa kuwa Nape alishindwa kura za maoni kama alivyoshindwa Slaa, Nape ndio SIZE haswa ya Slaa.
Hata ndani ya CDM (ukiondoa hapa JF na kubebwa na wazee) Slaa hana nguvu yoyote hata kesho ukiitisha uchaguzi wa ndani na ukafanywa kwa haki Slaa hawezi kumshinda Zitto kwa kura.
Hii ndio sababu haswa kuna juhudi kubwa za kumbeba Slaa na kumchafua Zitto kila kukicha ili tu kumjengea uhalali wa 2015 ili aendelee kubeba maslahi ya mabwana zake.
Heche, kilichomkimbiza Slaa CCM ni ushindani ndani ya chama ambao kwake ulikuwa ni maji marefu. Kwa kuwa Nape alishindwa kura za maoni kama alivyoshindwa Slaa, Nape ndio SIZE haswa ya Slaa.
Hata ndani ya CDM (ukiondoa hapa JF na kubebwa na wazee) Slaa hana nguvu yoyote hata kesho ukiitisha uchaguzi wa ndani na ukafanywa kwa haki Slaa hawezi kumshinda Zitto kwa kura.
Hii ndio sababu haswa kuna juhudi kubwa za kumbeba Slaa na kumchafua Zitto kila kukicha ili tu kumjengea uhalali wa 2015 ili aendelee kubeba maslahi ya mabwana zake.
Kumbe ZZK chiboko ana mabibi wengi huku JF au ndiyo sababu haoi?Heche, kilichomkimbiza Slaa CCM ni ushindani ndani ya chama ambao kwake ulikuwa ni maji marefu. Kwa kuwa Nape alishindwa kura za maoni kama alivyoshindwa Slaa, Nape ndio SIZE haswa ya Slaa.
Hata ndani ya CDM (ukiondoa hapa JF na kubebwa na wazee) Slaa hana nguvu yoyote hata kesho ukiitisha uchaguzi wa ndani na ukafanywa kwa haki Slaa hawezi kumshinda Zitto kwa kura.
Hii ndio sababu haswa kuna juhudi kubwa za kumbeba Slaa na kumchafua Zitto kila kukicha ili tu kumjengea uhalali wa 2015 ili aendelee kubeba maslahi ya mabwana zake.
Kama unataka kuujua muziki wa Slaa muulize kikwete na kinana wanaufahamu vizuri na watakujuza. Acha kutoa hoja dhaifu kama mtoto wa chekechea.
tofauti zako ni very shallow, mimi najua nape ni mtoto wa mozes nnauye basi, na la ziada kapewa vyeo kwa mfumo wa huyu ni mtoto wa mwenzetu na si vinginevyo. Maana hakuna popote nape alipochaguliwa na wananchi zaidi ya kuteuliwa. Labda unijuze! Dk slaa sifa zake wazijua sema tu ulevi wa ukada. Siwezi kukulazimisha maana binadamu ni wachache ila watu ni wengi.