Defend? CCM existence does depend on a stupid post on any stupid forum, it was put in power through people's voice and with people's will it shall go down...
Ni kweli kama ukiwa ndani ccm hauhitaji kuwa na ujuzi wowote katika taaluma unayoajiria kwa ccm huwa nafasi ya kazi inatafuta mtu,Ben na madogo wengi wa huko CDM ni majobless na wanna be, hawana jeuri ya kusema chochote kwa sababu mwisho wa siku wanalazimika kurudi miguuni kwa Mbowe kuomba nauli. Umasikini ndio adui mkubwa wa demokrasia.
cut the act!!!the elections were rigged in broad daylight,you know it and the self proclaimed president does too
Where are you, 2010? wake up it is 2013(already) and neither you or any of your stupid colleagues have manage to come up with even a made up story to substantiate your stupid claims. By the way this is old and silly excuse for an over 20 years old political party.
Heche, kilichomkimbiza Slaa CCM ni ushindani ndani ya chama ambao kwake ulikuwa ni maji marefu. Kwa kuwa Nape alishindwa kura za maoni kama alivyoshindwa Slaa, Nape ndio SIZE haswa ya Slaa.
Hata ndani ya CDM (ukiondoa hapa JF na kubebwa na wazee) Slaa hana nguvu yoyote hata kesho ukiitisha uchaguzi wa ndani na ukafanywa kwa haki Slaa hawezi kumshinda Zitto kwa kura.
Hii ndio sababu haswa kuna juhudi kubwa za kumbeba Slaa na kumchafua Zitto kila kukicha ili tu kumjengea uhalali wa 2015 ili aendelee kubeba maslahi ya mabwana zake.
kwa hiyo mkuu,inawezekana kijana wetu nae akawa na huu uchafu wa padri wa chadema?Huyo ni kijana (@ngonjera) wa altare alishafanya kazi na padri Slaa huwezi jua kulikoni!!!
kwa hiyo mkuu,inawezekana kijana wetu nae akawa na huu uchafu wa padri wa chadema?
Anaweza kushindwa ndani ya chama kama CCm kwa sababu ya mizengwe na rushwa ambayo hata m/kiti wenu amekiri imetamalaki,lakini akienda kwa wananchi wanamchagua,mtu akishinda kwa haki kwenye chama anaangushwaje na mtu aliyemshinda mbele ya wananchi wenye ubunge wao?ukitaka kuamini niyasemayo jiulize,mnawezaje kuwa na makamu mwenyekiti taifa kama Mangula aliyeshindwa uwenyekiti wa mkoa?Kuhusu Zitto,huwezi kumfananisha na Slaa hata kidogo,kivuli cha Slaa waweza kuwauliza wale mafisadi 11,pia pitia kura za maoni kati yake na Slaa humu jamvini!Heche, kilichomkimbiza Slaa CCM ni ushindani ndani ya chama mbao kwake ulikuwa ni maji marefu. Kwa kuwa Nape alishindwa kura za maoni kama alivyoshindwa Slaa, Nape ndio SIZE haswa ya Slaa.
Hata ndani ya CDM (ukiondoa hapa JF na kubebwa na wazee) Slaa hana nguvu yoyote hata kesho ukiitisha uchaguzi wa ndani na ukafanywa kwa haki Slaa hawezi kumshinda Zitto kwa kura.
Hii ndio sababu haswa kuna juhudi kubwa za kumbeba Slaa na kumchafua Zitto kila kukicha ili tu kumjengea uhalali wa 2015 ili aendelee kubeba maslahi ya mabwana zake.
Where are you, 2010? wake up it is 2013(already) and neither you or any of your stupid colleagues have manage to come up with even a made up story to substantiate your stupid claims. By the way this is old and silly excuse for an over 20 years old political party.
kweli mkuu dr.hakupaswa kufungua kinywa chake kumjibu mtu ambae kazi yake ndo hiyo uchakunuzi,hivi nape angekua demu ingekuaje?Dk nae anajiaibisha sana atajibishanaje na kichaa kama nape, lile ni vuvuzela amwache alopoke tu
nape kawekwa na jk? Na yule muunguja wenu wa uvccm nasikia amewekwa na mzee wa kilalacha!Mtu kama Heche eti ndio tegemeo la Chadema...kawekwa na Mbowe hapo.
au silaa tumkabidhi mzee wassira?Heche, kilichomkimbiza Slaa CCM ni ushindani ndani ya chama ambao kwake ulikuwa ni maji marefu. Kwa kuwa Nape alishindwa kura za maoni kama alivyoshindwa Slaa, Nape ndio SIZE haswa ya Slaa.
Hata ndani ya CDM (ukiondoa hapa JF na kubebwa na wazee) Slaa hana nguvu yoyote hata kesho ukiitisha uchaguzi wa ndani na ukafanywa kwa haki Slaa hawezi kumshinda Zitto kwa kura.
Hii ndio sababu haswa kuna juhudi kubwa za kumbeba Slaa na kumchafua Zitto kila kukicha ili tu kumjengea uhalali wa 2015 ili aendelee kubeba maslahi ya mabwana zake.
kuna umuhimu wa kujua level za elimu hapa jf, hivi kweli mkuu unaijua analysis? Ccm is a national disaster!- I mean I am reading this right Nape, anakuwaje size ya Slaa wakati Nape ni Kiongozi wa Chama tawala for the last 51 years na Slaa ni kiongozi wa Chama ambacho katika uhai wake toka kuzaliwa mpeke leo hakijashinda anything?
- Majuzi wamekutana Mwanza kwenye Udiwani, Slaa amepigwa akakimbia kabla ya matokeo kutangazwa, wamekutana tena kwenye Udiwani, Nape viti 22 Slaa viti 5 tu, sasa hawa wanakuwaje one size? Unless I am missing something hapa!!
ES!
ukiona mtu anapambana na mtu badala ya kupambana na hoja ujue tayari!hivi nape siku hizi ameacha kutumia calolite?
heche, kilichomkimbiza slaa ccm ni ushindani ndani ya chama ambao kwake ulikuwa ni maji marefu. Kwa kuwa nape alishindwa kura za maoni kama alivyoshindwa slaa, nape ndio size haswa ya slaa.
Hata ndani ya cdm (ukiondoa hapa jf na kubebwa na wazee) slaa hana nguvu yoyote hata kesho ukiitisha uchaguzi wa ndani na ukafanywa kwa haki slaa hawezi kumshinda zitto kwa kura.
Hii ndio sababu haswa kuna juhudi kubwa za kumbeba slaa na kumchafua zitto kila kukicha ili tu kumjengea uhalali wa 2015 ili aendelee kubeba maslahi ya mabwana zake.
nitajie mmoja wa wanasiasa wa hapa tanzania ambaye sio mzinifu mkuu tumjue!Padiri Slaa ni mzinifu; uchafu wake hauna shaka yoyote machoni pa waungwana nina wasiwasi na vijana wa altare waliokuwa karibu na padiri Slaa; inawezekana kabisa mambo ndiyo vile tena!