tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,855
- 1,117
kwake huyu ritz, hizi ni pumba? Hakika ukiwa CCM unapoteza uwezo wa kufikiri.Heche anaongea mambo ya msingi sana, hizi zako ndio pumba
kwake huyu ritz, hizi ni pumba? Hakika ukiwa CCM unapoteza uwezo wa kufikiri.Heche anaongea mambo ya msingi sana, hizi zako ndio pumba
Pro-Chadema-jf, mna upofu kila jambo la Chadema kweni ni zuri, sasa huyu Heche anaongea nini cha maanaHeche anaongea mambo ya msingi sana, hizi zako ndio pumba
namuona anavyojikanyaga, kamsifia Mrema, alafu hapo hapo anatuambia kwamba, anapiga mikwara ya kwenda polisi. Nani anayehitaji mikwara? Inawezekana naye alikuwa anapiga mikwara habari ya mapacha watatu.Nape na Kasumba ile ile ya Kum attack Dr. Slaa Personally ( Dr. Slaa ameleta Damage kubwa sana CCM)
Hii mjadala ni live kweli au recorded?