Marcus yuko vizuriDuuu mkuu ndio umejua leo!? Ndani ya miezi sita ya mwanzo ya huyo katibu mkuu tulianza kusema tumepoteza, na tukashauri kwa kusema mtu sahihi alikuwa Marcos Albanie. Hata Lema hafai kwa nafasi hiyo maana cdm itaishia kuchafuliwa na propaganda mfu ya uchaga. Heche au Marcos Albanie ni watu sahihi kwa nafasi hiyo. Huyo Mashiji hastahili hata kuchemsha chai hapo ofisini. Kwa kuongezea, hata Mbowe sio mbaya akipumzika kwa heshima kama Sir Alex Ferguson.
Kweli kabisa, sina cha kukushauru, mimi namwaga darsa bila hiyana. Nafahamu kuwa kwa sasa unaelewa kuandika suluhisho. Pia unaelewa namna ya kuandika dhahiri. Kutamka nafahamu hutoweza kuelewa labda uende madrasa, huko ndiko kwenye Kiswahili fasaha.Wewe ni kigagula tu huna cha kunishauri
Kweli kabisa, sina cha kuku shauri Mimi na wala darsa bila hiyana. Nafahamu kuwa kwa sasa unaelewa kuandika suluhisho. Pia unaelewa namna ya kuandika dhahiri. Kutamka nafahamu hutoweza kuelewa labda uende madrasa, huko ndiko kwenye Kiswahili fasaha.
Hilo ni bonge la kilazaAwajakamatwa mbona
Wanachadema wakijitambua bila Shaka na nchi watachukua.
Hivi vilitumika vigezo gani kumuacha Mnyika na kumchukua Mashinji?
Mkazieni Mbowe amtoe Mashinji aje Mnyika.
Achaneni na Lema haiwezi hiyo nafasi ni Mnyika au Mwalim wa znz
Wanachadema wakijitambua bila Shaka na nchi watachukua.
Hivi vilitumika vigezo gani kumuacha Mnyika na kumchukua Mashinji?
Mkazieni Mbowe amtoe Mashinji aje Mnyika.
Achaneni na Lema haiwezi hiyo nafasi ni Mnyika au Mwalim wa znz
Ila mkuu kwa mawazo yangu naona hao wote ulio wataja ni viongozi wazuri ila sasa wamezidi sana kuwa wapole kulinganisha na Heche