HECHE na LEMA ndiyo suruhisho CHADEMA

HECHE na LEMA ndiyo suruhisho CHADEMA

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,228
Reaction score
98,188
Kwa hali inavyokwenda ndani ya cdm na upinzani kwa ujumla hapa nchini ni dhaili sasa cdm tunahitaji nguvu mpya kwenye nafasi ya katibu mkuu wa chama.

Kwa sasa tunahitaji watu kama mh Lema na Heche kushika nafasi ya katibu mkuu ndani ya chama.
Kwa sasa chama kimezidi kupoa sana.
 
Kwani hujui kuwa Vincent ni katibu mkuu msomi kuliko wote Afrika?umemtaja Heche kiunafiki lakini unamtaka Lema ili chama kiongozwe na familia.Rekebisha uandishi wako
 
Wewe tangu ulipo uza utu wako pale mwambani kisa uongozi tulisha kupuuza
Kwani hujui kuwa Vincent ni katibu mkuu msomi kuliko wote Afrika?umemtaja Heche kiunafiki lakini unamtaka Lema ili chama kiongozwe na familia.Rekebisha uandishi wako
 
Kwa hali inavyokwenda ndani ya cdm na upinzani kwa ujumla hapa nchini ni dhaili sasa cdm tunahitaji nguvu mpya kwenye nafasi ya katibu mkuu wa chama.

Kwa sasa tunahitaji watu kama mh Lema na Heche kushika nafasi ya katibu mkuu ndani ya chama.
Kwa sasa chama kimezidi kupoa sana.

Duuu mkuu ndio umejua leo!? Ndani ya miezi sita ya mwanzo ya huyo katibu mkuu tulianza kusema tumepoteza, na tukashauri kwa kusema mtu sahihi alikuwa Marcos Albanie. Hata Lema hafai kwa nafasi hiyo maana cdm itaishia kuchafuliwa na propaganda mfu ya uchaga. Heche au Marcos Albanie ni watu sahihi kwa nafasi hiyo. Huyo Mashiji hastahili hata kuchemsha chai hapo ofisini. Kwa kuongezea, hata Mbowe sio mbaya akipumzika kwa heshima kama Sir Alex Ferguson.
 
Nakubaliana na ushauri wako mkuu kwa sasa kazi ya katibu haionekani kabisa na hali ndiyo inazidi kuwa doroooo
 
Kwa hali inavyokwenda ndani ya cdm na upinzani kwa ujumla hapa nchini ni dhaili sasa cdm tunahitaji nguvu mpya kwenye nafasi ya katibu mkuu wa chama.

Kwa sasa tunahitaji watu kama mh Lema na Heche kushika nafasi ya katibu mkuu ndani ya chama.
Kwa sasa chama kimezidi kupoa sana.
Napendekeza Sugu awe mwenyekiti na Heche awe Katibu mkuu.

Wachaga waende likizo kidogo!

Maendeleo hayana vyama!
 
Kunachotakiwa ni utendaji unao kubalika na wana cdm hata kama wote wangekuwa ni wagogo hakuna shida
Napendekeza Sugu awe mwenyekiti na Heche awe Katibu mkuu.

Wachaga waende likizo kidogo!

Maendeleo hayana vyama!
 
Duuu mkuu ndio umejua leo!? Ndani ya miezi sita ya mwanzo ya huyo katibu mkuu tulianza kusema tumepoteza, na tukashauri kwa kusema mtu sahihi alikuwa Marcos Albanie. Hata Lema hafai kwa nafasi hiyo maana cdm itaishia kuchafuliwa na propaganda mfu ya uchaga. Heche au Marcos Albanie ni watu sahihi kwa nafasi hiyo. Huyo Mashiji hastahili hata kuchemsha chai hapo ofisini. Kwa kuongezea, hata Mbowe sio mbaya akipumzika kwa heshima kama Sir Alex Ferguson.

True Mashinji hawezi siasa za hamsha hamsha Huwezi pambana na shetani kwa MAJI.Ukitaka kupambana na shetani yabidi ugeuke shetani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom