Chama kikabidhiwe kwa
LEMA = MWIZI WA MAGARI
HECHE= MVUTA BANGI
Awajakamatwa mbona
Chama kikabidhiwe kwa
LEMA = MWIZI WA MAGARI
HECHE= MVUTA BANGI
Jiwe, 1.5Chama kikabidhiwe kwa
LEMA = MWIZI WA MAGARI
HECHE= MVUTA BANGI
Huyo jamaa naona anamtania sirro
Kwan hujaelewa ?? Lugha Ni kwa ajili ya kufikisha ujumbe baasiSuruhisho = suluhisho
Dhaili = dhahiri
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Hivi lema huko chadema ni kichwaa eeh! Hii ndio maana hamtaweza shika hatamu maana hamna watu wenye substance! Ona sasa mwingine anapendekeza Sugu, kweli?Kwa hali inavyokwenda ndani ya cdm na upinzani kwa ujumla hapa nchini ni dhaili sasa cdm tunahitaji nguvu mpya kwenye nafasi ya katibu mkuu wa chama.
Kwa sasa tunahitaji watu kama mh Lema na Heche kushika nafasi ya katibu mkuu ndani ya chama.
Kwa sasa chama kimezidi kupoa sana.
Kichwa cha kuiba magari.Lema ni kichwa mara 100 kuliko makasuku wenu wa ndiyooooooo
Hata kwa mwenyekiti sisemi anafanya vibaya, lakini mwenyekiti kakifikisha chama pazuri sana sasa inahitajika njemba nyingine ya kiongeza jahazi ili kufika pwani haraka zaidiKwa hali inavyokwenda ndani ya cdm na upinzani kwa ujumla hapa nchini ni dhaili sasa cdm tunahitaji nguvu mpya kwenye nafasi ya katibu mkuu wa chama.
Kwa sasa tunahitaji watu kama mh Lema na Heche kushika nafasi ya katibu mkuu ndani ya chama.
Kwa sasa chama kimezidi kupoa sana.
Hata kwa mwenyekiti sisemi anafanya vibaya, lakini mwenyekiti kakifikisha chama pazuri sana sasa inahitajika njemba nyingine ya kiongeza jahazi ili kufika pwani haraka zaidi
Na hizo alama za kuuliza mbili kwa pamoja zina maana ipi? Unaonesha na wewe ndiyo walewale wa shule za kusomea ujinga.Kwan hujaelewa ?? Lugha Ni kwa ajili ya kufikisha ujumbe baasi
Subiri siku waandike "suruhisho" kama ulivyoandika wewe uone ninavyowapa darsa.Kawashauri lumumbani kwenu msiyojua kiswahili
Darsa na darasa ni vitu viwili tofauti, unafaham tofauti yake?Huna cha darasa wewe kigagula