PreGE2025 Heche kuzungumza na wanahabari kesho

PreGE2025 Heche kuzungumza na wanahabari kesho

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Chama kimepata watu. Samia atatema bungo mwaka huu.
Tunachotaka kutoka kwake ni REFORMS kwenye mfumo wa uchaguzi ili tuweze kuwachagua viongozi tunaowataka.

Kwasababu zile 4R tumegundua ni ulaghai baada ya kupora Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
 
Baada ya kumkamata Kariakoo na kumpeleka Msimbazi, Polisi walimtoa kituoni hapo baada ya Nguvu ya Wananchi kuwatisha na kisha kuwatelekeza kwenye mtaa mmoja na kutokomea.

Baada ya Heche na viongozi wengine kugundua kwamba Polisi Wamekimbia nguvu ya Wananchi wakaamua kuondoka.

Heche ataunguruma Mikocheni kesho na kufichua kila kitisho alichopewa na Mamluki wa Polisi waliotumwa kumteka.

View attachment 3312662
Genge ndani ya genge
 
Back
Top Bottom