Tetesi: Heche kuvamiwa na wasiojulikana

Tetesi: Heche kuvamiwa na wasiojulikana

Watu mnawashwa! Kujifanya manabii
 
Attachments

  • Screenshot_20250527_181432_Chrome.jpg
    Screenshot_20250527_181432_Chrome.jpg
    301.4 KB · Views: 8
Duh! Hao watekaji bado hawajashituka tu? Maana genge lao limeanza kumulikwa ni kina nani na wanatumwa na nani. Ni hatari kwa kweli hata wao mtego umetegwa watanaswa wote
 
Kabla jogoo hajawika atanikana Mara tatu huu ulikuwa ni ujumbe wa Yesu kwa wanafunzi wake'.

Kuna mashaka na wasiwasi kuwa muda ujao ndani ya ziara za kasikazini Heche atasalitiwa kwa kuchomwa na mtu wake wa karibu na kuchukuliwa na wasiojulikana na watakao itwa majambazi badae kwenye report

Chadema lindeni Viongozi wenu kweli kweli!!
Kaharishe huo uvundo akili ikurudi. Huoni ht haya kuandika huu uchafu?
 
Kabla jogoo hajawika atanikana Mara tatu huu ulikuwa ni ujumbe wa Yesu kwa wanafunzi wake'.

Kuna mashaka na wasiwasi kuwa muda ujao ndani ya ziara za kasikazini Heche atasalitiwa kwa kuchomwa na mtu wake wa karibu na kuchukuliwa na wasiojulikana na watakao itwa majambazi badae kwenye report

Chadema lindeni Viongozi wenu kweli kweli!!
Tumeshalizima hilo jaribio wazee wa kilingeni
 
Kabla jogoo hajawika atanikana Mara tatu huu ulikuwa ni ujumbe wa Yesu kwa wanafunzi wake'.

Kuna mashaka na wasiwasi kuwa muda ujao ndani ya ziara za kasikazini Heche atasalitiwa kwa kuchomwa na mtu wake wa karibu na kuchukuliwa na wasiojulikana na watakao itwa majambazi badae kwenye report

Chadema lindeni Viongozi wenu kweli kweli!!
MUngu atamlinda mwanaharakati huyu mwenye mapenzi na nia njema kwa Tanganyika. Waovu watakufa na kuteketea kabla haja dhurika. Ukuu wa Mungu ukadhihirike
 
Ametweet yeye mwenyewe, unakuja kuleta ramli hapa ionekane wewe ndio umeleta habari ? Unashangilia sio ? Mpumbavu kabisa wewe na ukoo wako
 
Kwa Upepo wa kiSiasa uliyopo, sio rahisi huyo kufanyiwa hayo sasa

Unajua Tanzania ime-make headlines juu ya huo uchafu unaoendelea

Kwahiyo sidhani kama wanaweza kuruhusu hayo yakafanyika wakati huu
umewaza kama mimi..
 
Back
Top Bottom