Tetesi: Heche kuvamiwa na wasiojulikana

Tetesi: Heche kuvamiwa na wasiojulikana

Kabla jogoo hajawika atanikana Mara tatu huu ulikuwa ni ujumbe wa Yesu kwa wanafunzi wake'.

Kuna mashaka na wasiwasi kuwa muda ujao ndani ya ziara za kasikazini Heche atasalitiwa kwa kuchomwa na mtu wake wa karibu na kuchukuliwa na wasiojulikana na watakao itwa majambazi badae kwenye report

Chadema lindeni Viongozi wenu kweli kweli!!
Godbless Lema huyo, anataka kumiliki ToneTone maana ni idea yake
 
Kwa Upepo wa kiSiasa uliyopo, sio rahisi huyo kufanyiwa hayo sasa

Unajua Tanzania ime-make headlines juu ya huo uchafu unaoendelea

Kwahiyo sidhani kama wanaweza kuruhusu hayo yakafanyika wakati huu
Mkuu usiseme hivyo, taadhali kuchukuliwa ni muhimu sana, we ya father kitima ulitegemea
 
John Heche usiogope CHADEMA muongezeni ulinzi makau mwenyekiti.
 
Kabla jogoo hajawika atanikana Mara tatu huu ulikuwa ni ujumbe wa Yesu kwa wanafunzi wake'.

Kuna mashaka na wasiwasi kuwa muda ujao ndani ya ziara za kasikazini Heche atasalitiwa kwa kuchomwa na mtu wake wa karibu na kuchukuliwa na wasiojulikana na watakao itwa majambazi badae kwenye report

Chadema lindeni Viongozi wenu kweli kweli!!
Nani kaleta tetesi hizi?ss tunasema anae panga na wote wanotekeleza watajilikana kabla ya utekelezaji huo MUNGU atawaanika tu.Na mipango hiyo na irudi kwa waovu na adui hao wasifurahi kwa kushinda.
 
Kwa Upepo wa kiSiasa uliyopo, sio rahisi huyo kufanyiwa hayo sasa

Unajua Tanzania ime-make headlines juu ya huo uchafu unaoendelea

Kwahiyo sidhani kama wanaweza kuruhusu hayo yakafanyika wakati huu
-He knows. I suggest the change of plans.

-Absolutely not! We proceed as planned; the situation is untenable!
 
Kabla jogoo hajawika atanikana Mara tatu huu ulikuwa ni ujumbe wa Yesu kwa wanafunzi wake'.

Kuna mashaka na wasiwasi kuwa muda ujao ndani ya ziara za kasikazini Heche atasalitiwa kwa kuchomwa na mtu wake wa karibu na kuchukuliwa na wasiojulikana na watakao itwa majambazi badae kwenye report

Chadema lindeni Viongozi wenu kweli kweli!!
Sawa mkuu utasaidia police maana uko na details za kabla ya tukio, madhani likitokea utaku na majibu pia.
 
Kabla jogoo hajawika atanikana Mara tatu huu ulikuwa ni ujumbe wa Yesu kwa wanafunzi wake'.

Kuna mashaka na wasiwasi kuwa muda ujao ndani ya ziara za kasikazini Heche atasalitiwa kwa kuchomwa na mtu wake wa karibu na kuchukuliwa na wasiojulikana na watakao itwa majambazi badae kwenye report

Chadema lindeni Viongozi wenu kweli kweli!!
Why mpaka sasa chadema haijaimarisha usalama wa viongoz wao muhimu
 
Kabla jogoo hajawika atanikana Mara tatu huu ulikuwa ni ujumbe wa Yesu kwa wanafunzi wake'.

Kuna mashaka na wasiwasi kuwa muda ujao ndani ya ziara za kasikazini Heche atasalitiwa kwa kuchomwa na mtu wake wa karibu na kuchukuliwa na wasiojulikana na watakao itwa majambazi badae kwenye report

Chadema lindeni Viongozi wenu kweli kweli!!
Lema.
 
Chadema msipuuze taarifa yoyote inayohusu viongozi na wanachama wenu, hata kama imeletwa na mwendawazimu.
Kwa wenzetu C.I.A, FBI na mashurika mengine ya kiusalama duniani taarifa kama hiii inapewa uzito mkubwa.
Taarifa hii isipuuzwe. Ichukuliwe kwa umakini mkubwa.
NoRwformNoElection
 
Kabla jogoo hajawika atanikana Mara tatu huu ulikuwa ni ujumbe wa Yesu kwa wanafunzi wake'.

Kuna mashaka na wasiwasi kuwa muda ujao ndani ya ziara za kasikazini Heche atasalitiwa kwa kuchomwa na mtu wake wa karibu na kuchukuliwa na wasiojulikana na watakao itwa majambazi badae kwenye report

Chadema lindeni Viongozi wenu kweli kweli!!
Asante kwa taarifa mkuu
 
Nawashauri watekaji waangalie Heche anatokea wapi,

Wassije tikisa Vyombo na kumponza kiongozi Mkuu.
 
Back
Top Bottom