technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,642
- 58,383
Ccm wakizidiwa wanaagiza polis wakamate wapinzani wao, viongozi wa kidini waseme ukweli...Kuna taarifa kutoka vyanzo vya ndani vya kiserikali kwamba Heche atakamatwa na kupewa kesi Kama ya Tundu Lissu hivi karibuni ili kuunyamazisha kabisa umma!
Mwenye kuweza kuomba juu ya Tanganyika na aombe!! Maana mateso yakizidi ukombozi waja
Mpango wa CCM kutumia dola kumrudisha Mbowe sasa umekamilika, kwani hao hawataachiwa hadi baada ya igizo la uchaguzi mkuu likamilike.
Mateso!.. mateso kwa nani!?Kuna taarifa kutoka vyanzo vya ndani vya kiserikali kwamba Heche atakamatwa na kupewa kesi Kama ya Tundu Lissu hivi karibuni ili kuunyamazisha kabisa umma!
Mwenye kuweza kuomba juu ya Tanganyika na aombe!! Maana mateso yakizidi ukombozi waja
Aaaah wamchukie tu jamaa naye anangebe sanaKuna taarifa kutoka vyanzo vya ndani vya kiserikali kwamba Heche atakamatwa na kupewa kesi Kama ya Tundu Lissu hivi karibuni ili kuunyamazisha kabisa umma!
Mwenye kuweza kuomba juu ya Tanganyika na aombe!! Maana mateso yakizidi ukombozi waja